Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu kuuliza sio ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Zile gari uwe na pesa maana Gari yoyoye kisanga huwa ni mahali pa kuzipata spea zake , na mafundi wanaozijulia la sivyo utakuja kulia
Wakuu kuuliza sio ujinga.
[emoji2297][emoji2297]kwaiyo nijichanganye nione kitatokea nini?Hazihitaji pangu pakavu
[emoji2297][emoji2297]kwaiyo nijichanganye nione kitatokea nini?
Ni mazuri mkuu azima siku hata Jeep Grand Cherokee moja la mtu uendeshe upate Hemi la 5.7L, 6.2L au 6.4LWakuu kuuliza sio ujinga.
Gari za kimarekani ni poa sana; ila sasa ujue jin si ya kuzitunza. Siyo magari ya kifahari ila ni magari comfortable na stable sanaWakuu kuuliza sio ujinga.
Gari tamu sana mkuuHivi min copper tsh ngap naziona mjini nyingi