Mnaomiliki hii chuma naombeni ABC za undani wake

Kudadeki hii chuma ni moto.
Ngoja wanaozijua waje
 
No gari ya kazi na pia ni rahisi kuimaintain consumption ya kawaida ukipata ya turbo diesel engine ya 200tdi
 
Hii gari inatakiwa iendane na mahitaji yako, mfano mbugani au migodi ya porini au shughuli za utafiti kwenye maporini, ujenzi wa barabara etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…