Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ile Gemu pale Nyamagana Agosti 10, 1974, Yanga ilikuwa imefungwa lakini kutokana na kubebwa na Refa Manyoto Ndimbo ikaibuka na ushindi wa mchongo wa 2-1.
Amina kafanya makosa ya kibinadamu tu mnapiga makelele kama mnachinjwa. Jee mngeona utopolo alioufanya Manyoto Ndimbo mwaka 1974 pale Nyamagana kuibeba Yanga si ndiyo mngekufa kabisa 😏😏😏