kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Ana mapendano na CHADEMA basi tu hana jinsi.. Mwingine ni Salum MwalimuHuwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed,
Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k
Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu
Wengine hatuna vyama vya siasa tunajitahidi kufatilia sera zenu ili tuone kama tunaweza kuwaunga mkono.
Salum mwalimu alishapoteza diraAna mapendano na CHADEMA basi tu hana jinsi.. Mwingine ni Salum Mwalimu
Sifa ya kuwa katibu mwenezi wa CCM ni kuwa na kumbukumbu ya uwepo wa Chadema na viongozi wake, hicho ndicho hufanyika kwenye mchujo wa kumchagua.Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed,
Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k
Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu
Wengine hatuna vyama vya siasa tunajitahidi kufatilia sera zenu ili tuone kama tunaweza kuwaunga mkono.