Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

Mnaonaje hii combination ya Seki, Babalevo, OK na Adela ndani ya Wasafi FM?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kikosi kipya kabisa ndani ya Wasafi fm kwenye kipindi cha jioni. Seki , Babalevo, OK na Adela Tillya.

Wajumbe mnaizungumziaje hii timu? Mimi binafsi namuamini sana Seki ana akili nyingi ataleta mapinduzi makubwa hajawai kufanya kazi mbovu.

Inst-image-8.jpg
 
Hicho kidemu kilikuwa kinasema kipindi kitaanza saa 10 kumbe ni saa 11 jioni

Sema nini wasafi wapunguze kukopi vipindi toka kwenye Radio nyingine halafu wanakuja na mikwara mingiiii kumbe hewa tu
Hamna Redio isiyo kopi,radio zote radio yao mama ni Radio One,80% ya redio zote wamekopi kutoka radio One sema wengine walikopi waka edit.

Ukija upande wa TV karibia TV zote hasa za vijana zimekopi vitu vingi kutoka EATV (Zamani ITV 2),so hamna kitu kipya chini ya jua siku hizi vitu vingi watu watu wanakopi na kuedit.
 
ITV2 au channel 5?!
 
Seki ukiacha habari ya maigizo akiwa na Mambo hayo kule ITV lakini alikinukisha vibaya akiwa na City Sounds ndani ya Channel 5 aisee Mambo ilkua fire ila ukiambiwa ndio alkua the man behinds Ze comedy ile ya kwanza ya kina Joti mpoki mpaka ikahama Channel 5 na kwenda TBC kipinde ile Seki naamini kwenye tasnia ya maudhui ya habari jamaa yupo vizuri
 
Sisi hatupendi mambo ya show off.
 
Back
Top Bottom