sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Banalevo atatusua kimasiharaNyota ya baba levo inazid kushine
Wakopi kutoka radio gani kwani?Hicho kidemu kilikuwa kinasema kipindi kitaanza saa 10 kumbe ni saa 11 jioni
Sema nini wasafi wapunguze kukopi vipindi toka kwenye Radio nyingine halafu wanakuja na mikwara mingiiii kumbe hewa tu
Hamna Redio isiyo kopi,radio zote radio yao mama ni Radio One,80% ya redio zote wamekopi kutoka radio One sema wengine walikopi waka edit.Hicho kidemu kilikuwa kinasema kipindi kitaanza saa 10 kumbe ni saa 11 jioni
Sema nini wasafi wapunguze kukopi vipindi toka kwenye Radio nyingine halafu wanakuja na mikwara mingiiii kumbe hewa tu
ITV2 au channel 5?!Hamna Redio isiyo kopi,radio zote radio yao mama ni Radio One,80% ya redio zote wamekopi kutoka radio One sema wengine walikopi waka edit.
Ukija upande wa TV karibia TV zote hasa za vijana zimekopi vitu vingi kutoka EATV (Zamani ITV 2),so hamna kitu kipya chini ya jua siku hizi vitu vingi watu watu wanakopi na kuedit.
Yote majina yake ITV 2,Channel 5 na sasa EATV.ITV2 au channel 5?!
Baba levo atafika mbali coz sio mtu wa kujikweza Sana