Mnaonaje kuhusu hiki kigezo cha kazi?

Raskazimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
1,092
Reaction score
1,201



Huu utaratibu umeanza lini? Nimezoea kusikia watu wakisema ukisoma nje kazi unapata lakini ndio mara ya kwanza naone waajiri wakisema wazi kwamba ni kigezo.
 
Mara zote huwa nasema elimu ya Tanzania kwa sasa ni hovyo sana..mie nakubaliana na kipengele hicho,Mwajiri acha achague anavyotaka (private sector hizo serikali haina sauti hapo),soko huru la ajira na la ushindani.anapunguza na idadi ya barua za maombi...mtakoma na UDSM zenu.nabado zitaanza kumwagika kinoma kazi za namna hiyo..
 
....lakini na huko nje inategemea maana hata akina Lukuvi, Nchimbi, ect wana madigiliii mengi ya vyuo vya kata na wengine hata vyuo havieleweki vipo wapi !!
 
Elimu yetu sasa iangaliwe kwa jicho la 3...its shame yaani, mtu mpaka kuandika application letter hawezi, na huyo katoka chuo...SHAME
 
Tunapoenda......................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…