Kuna kundi la GDG Dar Es Salaam huwa wanakutana na kujadili mambo mbali mbali katika development. Unaweza jiunga kwenye website ya meetup na ukafatilia, watakapo kuwa na event nyingine unaweza jiunga
Vizuri sana. Kwa watu makini mnaweza kukutana kwa namna isiyo halisi. Mfano kupitia fb room na bado mkajadili na kila mtu akapewa Kazi ya kufanya ili kukamilisha mradi.