Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio sina ujanja nalo ila najua suluhu yake ipo
Sina uhakika 100% bro ila kama upo Dar angalau kwa mwezi, mara moja kaoshe gari kwa jamaa wa Total (mfano Shekirango).Inasemekana "hard water stains" kwenye vioo vya gari husababishwa na kuosha gari kwa maji chumvi. Au kuosha na kufuta gari kwenye jua kali.
-Kaveli-
Vinegar zipo tu madukani hadi kwa Mangi , hebu jaribu uone labda inaweza saidia !!Bado mkuu. Wewe umekuwa mtu wa pili kunitajia hiyo Vinegar.
Hivi ni kweli inaondoa hard water stains? Upatikanaji wake?
-Kaveli-