Mnaondoaje 'Hard water stains' kwenye vioo vya gari?

Inasemekana "hard water stains" kwenye vioo vya gari husababishwa na kuosha gari kwa maji chumvi. Au kuosha na kufuta gari kwenye jua kali.

-Kaveli-
 
Inasemekana "hard water stains" kwenye vioo vya gari husababishwa na kuosha gari kwa maji chumvi. Au kuosha na kufuta gari kwenye jua kali.

-Kaveli-
Sina uhakika 100% bro ila kama upo Dar angalau kwa mwezi, mara moja kaoshe gari kwa jamaa wa Total (mfano Shekirango).

Jamaa maji Yao sio tu hayana chumvi, pia yana dawa flani inatunza rangi.

Nadhani wanaweza deal na iyo issue
 
Usioshee sabani ya unga mkuu?tumia sabuni maalum za kuoshea magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…