Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

Na ukipata ukimwi utangaze hivyo hivyo mwanawane.
Majuto ni mjukuu
 
Umlambe lambe Malaya?, Wale ni kuingz mkuyenge na kukojoa aondoke zake....washalambwa sana🤣🤣
 

You have won the battle, not the war.

Bado vita vinaendelea, utavipigana mpaka siku unakufa. Usiseme mwendo umeumaliza.
 
You have won the battle, not the war.

Bado vita vinaendelea, utavipigana mpaka siku unakufa. Usiseme mwendo umeumaliza.

Nakuelewa sana kiongozi ila pia namaanisha nilichokiandika. Kwa umri huu nishapuga sana mastory na Hawa watu, lakini akili yangu haijawahi kabisa kuvutiwa nao kwenda zaidi ya mazungumzo ya kawaida.

Akitaka kunipata ajenge urafiki na tuwe na vitu vinatuunganisha nje ya mambo ya mzabzab na nisijue kama anafanya hiyo biashara.

Kwa ufupi siwezi na sijawahi kudondoka na mtu kwenye hiyo tasnia ghafla tu, mchakato unakua mrefu sana. Siwezi kuvutiwa na mtu Kwa kupeana tu, haipo hivyo.
 
Bro kuna malaya smart na ukimuona huwezi mdhania.
Nilikutana na mmoja mkoa flani wa Kanda ya kati, story inaanzia day one namkuta kaunta yupo kavaa smart, suruali ya kitambaa, shart na high hills moja matata, ukweli sikumzania nilimpiga ofa then sikumwambia kitu, mara ya 3 nikaomba namba kesho yake kuchart nae akakubali kunipa game. Hadi hapo nikaanza kusita maana alikubali kirahisi sana. Nikamshawashi niende kwake ili niweze kujua yeye ni mtu wa aina gani na status yake, kweli alinielekeza kumbe anaishi hotel kwa muda wa zaidi ya miezi 5. Siku hiyo ndio akanichana live kwa kutangaza dau la jiwe ili niweze kula mzigo, ila kabla ya hapo aliniomba radhi. Mzee baba ela nilikuwa nayo ila sikutaka kumpa nikajibalaguza kuwa nina pungufu, ila alikuwa humble sana, siku hiyo tuliishia kupiga story na kumkumbatia. Tukawa mara kibao tunachart kwa simu na kukutana bar. Siku kama masiala nikaomba mzigo na nilimchana kuwa nipo apeche alolo, kweli nilibahatika kutunukiwa baada ya kupima ngoma maana nilimwambia siwezi kutumia kitwana condo (condom). Hadi hii leo ni mshkaji wangu sana
 
Mkoa niliopo Kuna pisi za rank zote

Ki arabu, imagine mtu anajiuza kavaa kislam Hadi shungi asee nyie acheni tu
 

Sina nia ya kuku attack personally mkuu. I am way above that. Kumradhi kama umehisi nimekuvaa kwa uandishi wako.

Nnachosema tu ni kwamba mwanaume kukataa sexual opportunities kutoka kwa wanawake wasio wako, either malaya or not, either kwa kutengeneza mahusiano kwanza or not, either one night stand or recurring, either kwa kununua, kununua bila kujua, kugharamia, kutunukiwa au kusetiwa.....

Hiyo ni vita ya kudumu. Kila mtu ana standards zake, na naheshimu zako mkuu. Unaweza usiamini ila hata sisi tunaokiri kuwahi kuanguka dhambini pia tumeshawakataa wengi kuliko tuliowakubali - na tunaendelea kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…