Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

kwahela hiyo ndo maana ukapata mademu wachafu.
 

Taifa la kesho hili
 
Nyie kwao mnatoa huduma bora bika visingizio?
Quality Service on Demand (Q.S.O.D) hichi ndio wanaume wengi hukosa majumbani.

Una nyege zako unaambiwa ooh nimechoka, ukifosi utashangaa kiss hupewi unasingiziwa mdomo unanuka sijui 🤣🤣🤣.

Mara fanya umalize haraka baba junia unaniumiza tu. K kavu kuliko jangwa la sahara
 
Wazee wa Merchandise acquisition 🤣🤣🤣 department
 
Unakuwaje na mwanamke anakuwa mkavu maana yake hisia nawe hakuna
 
Malaya wa 10K anaweza kuingia kiwanja cha ushuani akauza 200K still ukapigwa tu. Kama Ndoige
Kama anatoa huduma ya kiwango cha 200k mbona atapewa tena zaidi ya hiyo tena atakua recommended among wadau, naamini hata hao wa 200k walianzia chini kisha wakajiimarisha, pamba kali, staying healthy, papuch safi, customer care nzuri.. atapanda thamani tu

Lakini pia Ukikaa muda mrefu kwenye game, wa 10k na wa 200k ukimwangalia tu unamjua.

Mavazi (aina na mpangilio), simu anayotumia, level of confidence, jinsi anavyoongea na mada anazoongelea, company yake kama anayo, na cha muhimu ni jinsi mtakavyo vibe wewe na yeye.

(Hizo points sio conclusive)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kwenye hii sekta nimeumaliza mwendo tena kwa mpango wa Mungu.

Iko hivi Krismas nilikula na family huko mkoani, nikarudi mjini ni kiwa na mipango lukuki ya kulewa na kampani yangu, then kutafuta mbususu ya kukesha nayo baada ya saa 6 mwaka mpya.

Siku tano kabla ya mwaka mpya nilikunywa sana pombe kali, kesho yake niliamka naumwa vibaya sana mpaka nikasema sijui kama nitauona mwaka maana mwaka mzima ukiacha homa za hapa na pale sijawahi kuumwa vile kiasi kwamba kunyanyuka kitandani shughuli, hospitali nikapewa sindano na dozi ya wiki mbili juu.

Kilichotokea mwaka mpya umenikuta kwenye dozi hivyo sikunywa pombe hata moja, mwili haukuwa na nguvu hivyo sikuchakata mbususu ya aina yoyote.

Ni kiwa peke yangu kwa bed nikatafakari sana nikaamini kuna jambo Mungu either alikuwa ananiepusha nalo au kuna kitu anataka nijifunze.

Nikajiapiza kama nilivyouanza mwaka bila pombe wala uzinzi basi mwaka utaisha hivyo hivyo. Namaliza wiki sijanywa pombe na sina kiu hata chembe, wakati zamani nilikuwa nikijisikia nafuu kidogo nakatiza dozi nikanywe konyagi, na kitu kingine nilichojifunza pombe ndiyo inatushawishi kutafuta malaya inaleta hamu za kishetani kabisa ambazo huwezi resist maana tangu nimeacha pombe sina hamu na malaya yoyote na nikikumbuka nlivyokuwa naruka nao najichukia mpaka najionea kinyaa. Kabla ya saa 6 usiku mwaka mpya nilifuta magroup yote telegram nikafuta na namba zote nilizosevu za malaya, kama nikupoteza muda yatosha kusema imetosha, kama nikupoteza hela imetosha.

I have to take back my power

Mwaka huu sigeuki nyuma kamwe Eeh Mungu nisaidie.
 
Umepumzika kunywa pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…