Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kwa mara nyingine tena
Napenda kuwatakia heri wana ndoa wote wanaoatarajia
kuona siku ya kesho kwa niaba ya familia yangu nawatakia
maisha mema ndoa yenye furaha kama yangu baraka za wattoto
ziwaangazie ukipata mtoto usisite kumuita PDIDY jr ,
Kumbukeni Upend,heshima,kusaidiana,kuelimishana,upole,utulivu
na mengine mengi ndio yatakayohifadhi ndoa zenu else mtawapa shida
wazazi wenu kwenye vikao visivyo na maana kama si kuwatesa mahakimu
kuvunja ndoa ya wiki mbili.....Natangaza kutokuwa na Talaka maishan mwenu
Natangaza Pepo la UTASA Lishindwe kwenye maisha yenu in jesus name
Furaha ikawe mlangoni mwenu Daima..kumbukeni wazazi ,walezi
msikubali kutoa nafasi kwa familia zenu kuingilia ndoa zenu hasa ma WIFI Na MASHEMEJI
Tatizo lolote la ndoa linatatuliwa na wanandoa msijidanganye kukimbilia marafiki ndugu
hata wazazi wenu ninyi ndio waamuzi a.k.a Othman Kazi....msiwape shetani nafasi
kumbuka ewe baba ewe mama umetoka maisha tofauti unakut mtoto wa watu amelelewa tofauti inachukua muda kuwa pamoja uvumlivu kitu muhimu kwenu...kesi za kijinga jinga ziishie mlangoni mwenu
Mwisho kabisa msisahau kusoma thread yenu ya MAHUSIANO/MAPENZI/URAFIKI kupata yale nyeti ama utundu zaidi unaoweza kumfanya mwenzio akaishia chumbani hata kusahau muda wa kazi....Mkifikisha miezi mitatu ujue imeanza kunawiiri mwombeni MOD wetu awape nafasi kwenye mambo ya kkubwa kule hata aibu itakuwa ishawatoka...usiache kumfanyia mwenzio utundu wowote unaojua akuna wa ziada zaidi yako......
angalia asije akawa kafanyiwa operation karibuni itakuwa nje ya uwezo wa JF ,mod na members zake
Kila kheri
Nawatakia