Mnaopenda hadithi pateni story ya Shkuba - Drug Lords

Hao maafisa wa usalama wa Marekani waliokuwa wakimtafuta Shikuba na wenzake ni 'DEA' na sio 'CIA'.
 
Kwahiyo yupo mtaani na kasharudi bongo Shkuba? mrangi mwandende
 
Kwahiyo yupo mtaani na kasharudi bongo Shkuba? mrangi mwandende
Yupo huru yeye na wenzie wote waliopelekwa Marekani..
Tena mwaka ushapita now tangu awe huru.
Yupo mjini siku nyingi Tu,,anawacheki kwa dharau na Sheria zenu kandamizi.

Kesi za madawa kwa inchi zilizoendelea wanazipuuza na kutoa kifungo kidogo.

Umefungwa Sana miaka 6 lakini utakaa 2 jela na kurudi uraiani.

Kesi za ,
-unyang'anyi wa silaha.
-Kudhuru mwili.
-Uhujumu uchumi.
-Human trafficking.
-Rushwa.
-Mauaji.
-Kunyanyasa mwanamke kijinsia.
-kubaka.
-Fraud.
-Money laundering.
Utafungwa miaka mingi kuliko kesi ya madawa ya kulevya.

Africa kesi za madawa ndy unakomewa kwa kufungwa maisha au miaka 50 jela.
Na kuacha wanaohujumu inchi uraiani au kuwapa kifungo cha nje kufagia barabara.

Kweli Africa ni shit hole .
 
Shkuba ameachiwa na Wamarekani? Je kifungo chake kilikuwa miaka mingapi?
 
El Chapo kafungwa miaka mingapi?
 
Ajabu ni kwamba shkuba alipelekwa USA kutokana na crimes ambazo alizifanya duniani kote especially china,hong kong, Thailand, USA ulaya nk.
Punda wengi walikuwa wakikamatwa wanamtaja shkuba,,

Jamaa akawa most wanted by Interpol..

Sasa kama alikuwa na kesi ingine kule lindi na wenzie walishafungwa jela tayari,
Kwann shkuba yeye iwe kesi ile ya lindi haimuhusu,?awe uraiani kwa sasa?

shkuba amehukumiwa USA kwa matukio mengine aliyoyafanya inchi zingine?na sio Tanzania

alichukuliwa na USA akiwa kizuizini Tanzania,,
Ili akatumikie makosa yake USA,
basi alipaswa arudishwe na aunganishwe na wenzie wa Lindi..

Na sitaki kuamini kwamba watu wa usalama wa JNIA au police JNAI hawajui hili.

Mtu yeyote ambaye anafanyiwa deportation kutoka nje ya inchi,,
anakuwa under escort,,au passport yake anakabidhiwa rubani wa ndege husika na anapofika inchini anakabidhiwa kwa watu wa usalama pale airport.JNIA.kwa ajili ya kumhoji na kumchukulia maelezo ya kina.

Je shkuba aliwezaje kutoka pale JNIA mbele ya migrations,,mbele ya police ambao ndy waliokuwa wamekabidhiwa passport yake?
 
Tafakuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…