spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Wajameni,
Yani kuna watu wanapenda kupuliza unyunyu sana yani mbaya zaidi unakua na ile harufu kali, jamani yaani sie wenye allergy tunateseka hatari..!
Yaani omba usikae naye siti moja kwenye chombo cha usafiri akianani utaisoma namba na mbaya zaidi chombo siti zote ziwe zimejaa...
Sehemu nyingine kanisani,.imenikuta kama mara tatu nakaa na mtu kapulizaa yaani nakumbuka kama mara mbili hivi nilihama siti, maana utapigaje chafya, hamu yote ya kusali inakatika...
Tupakeni manukato yaliyotulia wajameni au deodorant tu inatosha...kiukweli tunakwazika yani..
Spray
Sent using Jamii Forums mobile app