Tetesi: Mnaopenda kuwaza

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
3,503
Reaction score
2,865
Watu wengi wanapenda sana kuelezea matukio kwa kuwanyoshea vidole wengine , Je haiwezi kutokea kuwa Familia ikawa imelipa Ramson kimyakimya kadiri watekaji walivyotaka ili ndugu yao aachiwe huru bila kuwashirikisha Polisi. Nafikiria tu binafsi.
 
Hiyo inawezekana. Shida hapa ni nani walimteka? Kuna stori aliandika majuzi Ansebert Ngurumo (nisamehe kama nimekosea spelling za jina), it now makes a lot of sense.
 
Yoyote yanawezekana.

Uzuri hata polisi wenyewe wanakiri hawakuwa na mchango,katika upatikanaji wake

Wanasema wazi alitelekezwa gymkana.so uwezekano wa kuwa ametoboka mfuko ni mkubwa tu.
 
Tetesi zilizomo chini kwa chini ndo hizo huuchongo umetengenezwa na mzigo ushachukuliwa kwa makubaliano maalum wee jiulize nani akuteke alafu akurudishe tena na sim akupe upige kwenu
Watu wengi wanapenda sana kuelezea matukio kwa kuwanyoshea vidole wengine , Je haiwezi kutokea kuwa Familia ikawa imelipa Ramson kimyakimya kadiri watekaji walivyotaka ili ndugu yao aachiwe huru bila kuwashirikisha Polisi. Nafikiria tu binafsi.
 
Na masharti ni kwamba wakimwambia mtu anatekwa tena? Maana sioni mantiki ya kutosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…