Mnaopenda vinywaji baridi, mnadili vipi na Tonsils za kwenye koo

Mnaopenda vinywaji baridi, mnadili vipi na Tonsils za kwenye koo

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils.

Kumeza mate kwa maumivu na taabu,

Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
 
Ngoja wajuzi waje maana sio wote wanaopata tonses wengine wanaishia kwenye mafua na kikohozi tu
 
Mhhh kwani tonsils zinasababishwa na vitu baridi, au me la saba B ndio sielewi ipi ni kipi?
 
Kuna wale wapenda chunvini wanadili vipi na fangasi.
 
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils.

Kumeza mate kwa maumivu na taabu,

Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
Mimi sipati mbona. Mimi hata maji napenda yale yenye barafu.
Daktari wa kinywa aliniambia hakuna uhusiank kati ya tonsils na maji baridi unless una shida nyingine
 
Back
Top Bottom