R round kick JF-Expert Member Joined Feb 3, 2025 Posts 345 Reaction score 1,145 Feb 28, 2025 #1 Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 28, 2025 #2 Ngoja wajuzi waje maana sio wote wanaopata tonses wengine wanaishia kwenye mafua na kikohozi tu
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Feb 28, 2025 #3 Mhhh kwani tonsils zinasababishwa na vitu baridi, au me la saba B ndio sielewi ipi ni kipi?
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Feb 28, 2025 #4 Kuna wale wapenda chunvini wanadili vipi na fangasi.
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,896 Reaction score 5,181 Feb 28, 2025 #5 round kick said: Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k. Click to expand... Mimi sipati mbona. Mimi hata maji napenda yale yenye barafu. Daktari wa kinywa aliniambia hakuna uhusiank kati ya tonsils na maji baridi unless una shida nyingine
round kick said: Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k. Click to expand... Mimi sipati mbona. Mimi hata maji napenda yale yenye barafu. Daktari wa kinywa aliniambia hakuna uhusiank kati ya tonsils na maji baridi unless una shida nyingine