Mnaopinga maandamano 7/7 mkae kimya, mtuache sisi tunaopenda Tanzania tuandamane. Na tutaandamana tu

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,201
Reaction score
3,345
Jamani naomba sana kwa wale ambao hamtaki maandamano msitutukane sisi ambao tunataka kuandamana kwa ajili ya haki na uhuru wetu.
Ninyi mmeshasema mtatuua sasa mtuache basi tuendelee na kupanga maandamano yetu.
 
Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:

"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."

Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
 
Watanzania kweli tunatamani kua na uongozi bora tofauti na huu. Lakini nyie ni akina nani? Mana kwa saivi sidhani kama wananchi tumepanga au tunatamani kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…