Mnaosema CCM na ANDAZI mnachagua andazi mmemsikia JACK MA?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
"If you put bananas and money in front of monkeys, monkeys will choose bananas because monkeys do not know that money can buy a lot of bananas. In reality, if you offer a job and business to people, they would choose job because most people do not know that business can bring more money than wages. Profit is better than wages, for wages can make you a living but profits can bring you a fortune." Jack Ma

Nadhani wale wanaochagua ANDAZI wanaona bora kula ya leo wanaacha kujenga taasisi(CCM) itakayo hakikisha kula ya vizazi na vizazi.

Kama hakua chama kingine kinachoeleweka basi mi nachagua CCM
 
Kipenda roho ya mtu.Wewe unayeipenda CCM baki nayo ule mandazi.
 
Tafsiri yako ni kijinga sana. ROMA angeweza kutaja kitu kingine badala ya Andazi, na maana ikawa ileile.
Kifupi ni kuwa ccm imeshakataliwa siku nyingi tu. Ccm inaishi kwa nguvu ya jeshi la polisi na ubabe wa tume ya uchaguzi. Ila kwenye miyoyo ya watu haipo. Hata wao wanajua.
 
Mwanzo ulianza vizuri, Mwishoni Umevurunda.
Jack Ma anajaribu kuonesha jinsi gani Biashara inaweza kukupa vyote kuishi (Living) plus Wealth (Utajiri) na sio kazi ambayo itakupa only Living (Kuishi).

Wewe umechukua huo mfano wa Jack Ma unajaribu kulinganisha na CCM (Chukua Chako Mapema) obvious sioni Co-relation.​
 
Huyu harudi Tena hapa, anapepewa muda huu
 

Imeshafanya nini mpka sasa
 
Huu ulinganisho wako ni irrelevant.
 
Hayo maandazi yapo mtaa gani tukanunue
 
Kwani ujui kuwa ccm ni mavii [emoji849] sasa kati ya andazi na mafii [emoji90]wewe utachagua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…