Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Kwahiyo kaka wewe ni mchawi 🤔Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
Ndio maana nataka utoe maelezo yenye kueleza mambo kama hayo kuwa ni nini hasa na si uchawi, kwa sababu imani potofu zipo na ipo mifano ya mambo ambayo watu walikuwa wakiamini husababishwa na uchawi ila ikaja kufahamika ni imani potofu na ukweli wa hayo ukaelezwa.Uchawi haupo ndio maana nikakwambia hizo iman ni potofu
Sio mchawi, ila nina wazee wangu wapo pangani na kwamsisi niliwahadthia hilo swala wakacheka sana kua et watu hawaami Uchawi, wakaniambia ambae haamini mwambie akupe kucha na nywele au muokote unyayo halafu atapata majibu.Kwahiyo kaka wewe ni mchawi 🤔
Kitu sahihi ni kipiHapana kwa sababu umejenga hoja kwamba mimi kushindwa kuthibitisha uchawi kuweza kusababisha ugonjwa basi ni ushahidi kwamba hakuna uchawi, kitu ambacho sio sahihi.
Sasa mkuu wenye Imani zao potofu unawaacha unataka nitolee maelezo mimi ambae hizo Imani Sina kabisaNdio maana nataka utoe maelezo yenye kueleza mambo kama hayo kuwa ni nini hasa na si uchawi, kwa sababu imani potofu zipo na ipo mifano ya mambo ambayo watu walikuwa wakiamini husababishwa na uchawi ila ikaja kufahamika ni imani potofu na ukweli wa hayo ukaelezwa.
Hivi vipi ishu ya mapepoNdio ujue uchawi haupo ni dhana tu na Imani potofu
Sina ninachoelewa kuhusu mapepo muulize mtoa mada huenda ana ufaham nayoHivi vipi ishu ya mapepo
Usahihi ni kwamba kutokuwepo kwa ushahidi si ushahidi wa kutokuwepo, bali ni kukosekana tu kwa ushahidi tu. Sasa wewe unakataa uchawi kwa sababu hakuna ushahidi na unafanya huko kutokuwepo kwa ushahidi ndio ushahidi wa kutokuwepo.Kitu sahihi ni kipi
Hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha uchawi lakini angalau kuna watu waliothibitisha mbu kusababisha malaria.Hoja yako sio sahihi kwa sababu hata ukisema uwaambie baadhi ya watu wathibitishe mbu kusababisha malaria wanaweza kushindwa kuthibitisha.
Wewe ndio unaita uchawi kwamba kiujumla ni imani potofu tu ndio mwenye jukumu la kuelezea, siwezi kuwaambia hao wengine ambao hawasemi uchawi kiujumla ni imani potofu kama uvyodai wewe.Sasa mkuu wenye Imani zao potofu unawaacha unataka nitolee maelezo mimi ambae hizo Imani Sina kabisa
Wewe mwenye izo Imani ndio ututhibitishie hizo Imani zako unazoita uchawi kama huwezi uchawi haupo
Sio wajibu wa anayepinga uchawi kuthibitisha uchawi haupo bali ni wajibu wa anayedai uchawi upo kuthibitisha uwepo wa uchawi. Ukidai kuna mbuzi anayetaga mayai au kuku anayezaa wewe ndiye unatakiwa uthibitishe sio wale wanaopinga uwepo wao, ukidai kuna mtu aligeuka mjusi baada ya kucheza Quran wewe ndiye unayetakiwa uthibitishe na sio wale wanaopinga.Ndio maana nikasema hayo ni mambo yenye kudhaniwa au kuhusishwa na uchawi, kumekuwepo na hiyo imani kwamba zipo hirizi zenye kuweza kufanya kitu kama hicho. Sasa wewe unaweza kutupa maelezo gani kwenye hilo kuelimisha kwamba jambo kama hilo si uchawi kama inavyodhaniwa?
Sasa kitu kitakuwepoje bila ushahidi wa kuwepo hebu elezea mtaalamuUsahihi ni kwamba kutokuwepo kwa ushahidi si ushahidi wa kutokuwepo, bali ni kukosekana tu kwa ushahidi tu. Sasa wewe unakataa uchawi kwa sababu hakuna ushahidi na unafanya huko kutokuwepo kwa ushahidi ndio ushahidi wa kutokuwepo.
Uchawi haupo kama upo thibitisha upoje ili tumalize mjadalaWewe ndio unaita uchawi kwamba kiujumla ni imani potofu tu ndio mwenye jukumu la kuelezea, siwezi kuwaambia hao wengine ambao hawasemi uchawi kiujumla ni imani potofu kama uvyodai wewe.
Kukosekana uthibitisho ndio ushahidi wa kutokuwepo, kama hakuna uthibitisho wa kitu kuwepo ina maana hicho kitu hakipo. Vinginevyo itakuwa dunia ya wendawazimu kama vitu ambavyo havipo vinahesabika kuwepo au kutokuwepo, yani mtu anaweza kuamka tu kesho akasema wewe ndiye uliyemuua jirani yako na akataka ufungwe kwa sababu huna ushahidi kwamba hukumuua jirani yako.Usahihi ni kwamba kutokuwepo kwa ushahidi si ushahidi wa kutokuwepo, bali ni kukosekana tu kwa ushahidi tu. Sasa wewe unakataa uchawi kwa sababu hakuna ushahidi na unafanya huko kutokuwepo kwa ushahidi ndio ushahidi wa kutokuwepo.
Soma kwa utulivu ili uelewe. Hakuna nilipotaka anayepinga uchawi athibitishe kutokuwepo kwa uchawi bali nimesema inawezekana kusiwepo uchawi ila yale mambo yenye kuhusishwa au kudhaniwa ni uchawi yapo kweli. Ndipo nimetaka mueleze hayo mambo ni nini? Maana watu ndio huita uchawi hivyo nyie ambao mnajua kuwa sio uchawi ndio mueleze kuwa sio uchawi bali ni nini?Sio wajibu wa anayepinga uchawi kuthibitisha uchawi haupo bali ni wajibu wa anayedai uchawi upo kuthibitisha uwepo wa uchawi. Ukidai kuna mbuzi anayetaga mayai au kuku anayezaa wewe ndiye unatakiwa uthibitishe sio wale wanaopinga uwepo wao, ukidai kuna mtu aligeuka mjusi baada ya kucheza Quran wewe ndiye unayetakiwa uthibitishe na sio wale wanaopinga.
Umetolea mfano wa hirizi zilizokutwa kwa panya road na ukasema zilizuia wasife na zilivyotolewa wakafa na hayo ndio mambo unasema kwa kinywa chako kuwa ni uchawiSoma kwa utulivu ili uelewe. Hakuna nilipotaka anayepinga uchawi athibitishe kutokuwepo kwa uchawi bali nimesema inawezekana kusiwepo uchawi ila yale mambo yenye kuhusishwa au kudhaniwa ni uchawi yapo kweli. Ndipo nimetaka mueleze hayo mambo ni nini? Maana watu ndio huita uchawi hivyo nyie ambao mnajua kuwa sio uchawi ndio mueleze kuwa sio uchawi bali ni nini?
Kwahiyo sijasema mthibitishe kutokuwepo kwa uchawi na hata msipoweza kuelezea hayo mambo pia sio ushahidi wa kuwepo uchawi.
Labda nitoe mfano mimi niwe naona kila siku kiasi cha pesa kwenye simu yangu kinapungua bila kujua sababu ambapo nikadhania kuwa kuna mtu ananiibia pesa kwenye simu yangu, ila wewe ukasema hakuna anayekuibia kwamba huo sio wizi kisha mimi nikataka ueleze je ni nini hicho kama sio wizi? Kwahiyo hapo ndio utaeleza kwamba ni nini kinachofanya pesa yangu kupungua.
Kwanza hakuna mtu mwenye akili timamu utamuambia pesa zinapungua tu kwenye simu yako aseme huo sio wizi bila kuuliza maswali mengi au kufanya uchunguzi. Mtu hajui simu yako huwa unatumia na nani, hajui kama kuna mtu anaweza kuwa na passwords zako, sijaongea na watoa huduma wa mtandao wako wathibitishe kama hata kweli pesa zinapotea au ni wewe umejichanganya tu, umejiunga kwenye huduma inayokata pesa automatically ukasahau, Kuna mtu amedukua account yako anukuibia pesa n.kSoma kwa utulivu ili uelewe. Hakuna nilipotaka anayepinga uchawi athibitishe kutokuwepo kwa uchawi bali nimesema inawezekana kusiwepo uchawi ila yale mambo yenye kuhusishwa au kudhaniwa ni uchawi yapo kweli. Ndipo nimetaka mueleze hayo mambo ni nini? Maana watu ndio huita uchawi hivyo nyie ambao mnajua kuwa sio uchawi ndio mueleze kuwa sio uchawi bali ni nini?
Kwahiyo sijasema mthibitishe kutokuwepo kwa uchawi na hata msipoweza kuelezea hayo mambo pia sio ushahidi wa kuwepo uchawi.
Labda nitoe mfano mimi niwe naona kila siku kiasi cha pesa kwenye simu yangu kinapungua bila kujua sababu ambapo nikadhania kuwa kuna mtu ananiibia pesa kwenye simu yangu, ila wewe ukasema hakuna anayekuibia kwamba huo sio wizi kisha mimi nikataka ueleze je ni nini hicho kama sio wizi? Kwahiyo hapo ndio utaeleza kwamba ni nini kinachofanya pesa yangu kupungua.
Unaweza kueleza sababu za kutokuwepo kwa uthibitisho wa uchawi?Hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha uchawi lakini angalau kuna watu waliothibitisha mbu kusababisha malaria.