Kuamini unaweza kuamini kitu chochote, suala linakuja katika kuthibitisha. Kuna watu wanaamini dunia ni flat, 2pac hajafa, kuna binadamu mijusi, kuna nyoka mwenye vichwa saba baharini, atakuja masihi dajal mwenye jicho moja na imani nyingine nyingi tu za ajabu ajabu ambazo watu wanaamini.Utapoteza muda bure mkuu,
Kuna kama wawili niliwaambia wakifika bongo waniambie kama wanataka kuthibitisha.
Wakiumwa ila hospitali wakitumia microscope ambayo inaona beyond uono wa kawaida, wanaona ni sawa ila ushirikina ambao ni spiritual thing, wakiambiwa watumie spiritual gates kuuelewa, wao wanang'ang'ana kuuona kwa njia ya kawaida.
Yani hawa ambao wanaishi kwenye nchi zilizofanya witch hunt, ukiwaambia aliens wapo. Wanadiscuss happily ila uchawi wanaona ni upotofu.
Nitakuwa mtu wa mwisho kamini kuwa uchawi haupo. UCHAWI UPO ila ukiishia ushuani na usipoupa umakini. Hautouona ila uishi ushenzini, ipo siku utapambana nao
Bila shaka unataka ushuhuda wa changamoto za kichawi.Mfano wa changamoto za kichawi ni zipi mkuu
Wewe ulipata tumbo la kuhara tuu and nothing more, next time acha kulakula hovyo na osha mikonoBila shaka unataka ushuhuda wa changamoto za kichawi.
Ila kwanza fahamu hili.
Uchawi ni nguvu za pekee za kufanya maajabu yasiyowezekana kwa nguvu za kawaida.
Nimetoa mifano ya Farao na ipo mifano ming ya Biblia na Quran.
Labda ww haumini Mungu.
Na pia haumini Shetan.
Kwahiyo nisijikite huko.
(Maana ukiamin haya basi utaamini kuna uchawi upo).
Nirud kwenye Uhalisia ambao ww unataka kushuhudia changamoto ili uamini.
Tanga kuna uchawi unaitwa Zongo.
Mm nimewah kudhulika nao. Nilienda handeni - Kibindu. 2018 Kwenda kuzika. Kuna Mbibi mmoja alikuwa ananiangalia sana . Nikaona atakuwa ananifananisha. Tumemaliza kuzika. Majira ya saa 9 mchana.
Watu hawajatawanyika vizur. Nikaanza kuumwa na Tumbo la kusokota na nikaishiwa nguvu.
Nikawa nachuchumaa. Baada ya hapo naona Watu wananibeba na kunipekeka nyumba ya karibu na kunilaza kwenye mkeka. Sina Faham. (Yaan inakuja na kukata)
Wamepiga dua sana. Na baadae kuna dawa wakakoroga wakanipa kwa kijiko kidogo kdogo.
Nikazinduka. Lisaa lizima na zaid sikuwa na nertwork. Na nasikia nilikuwa nazungusha macho. Mara nyingne kiini cheus hakionekani.
Kumbuka ni kitu cha gafla tena makaburini.
Wataalam walisema ni Zongo na ndio nikakumbuka yule mbibi alivyokuwa ananitizama kabla hatujaelekea makaburini.
Je Hii Zongo tuiteje?
Au unahisi sio uchawi?
Sema exactly nini mwishoni kitatokea, kama huwezi funga uziKikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
Mpaka sasa ni mabishano tuu, wanaogopa kunipa nilichoombaUtapoteza muda bure mkuu,
Kuna kama wawili niliwaambia wakifika bongo waniambie kama wanataka kuthibitisha.
Wakiumwa ila hospitali wakitumia microscope ambayo inaona beyond uono wa kawaida, wanaona ni sawa ila ushirikina ambao ni spiritual thing, wakiambiwa watumie spiritual gates kuuelewa, wao wanang'ang'ana kuuona kwa njia ya kawaida.
Yani hawa ambao wanaishi kwenye nchi zilizofanya witch hunt, ukiwaambia aliens wapo. Wanadiscuss happily ila uchawi wanaona ni upotofu.
Nitakuwa mtu wa mwisho kamini kuwa uchawi haupo. UCHAWI UPO ila ukiishia ushuani na usipoupa umakini. Hautouona ila uishi ushenzini, ipo siku utapambana nao
Nitakuloga ufe kabla ya week 2 kuisha, kama unabisha tukutane unipe hivyo vitu nilivyoomba halafu usubiriSema exactly nini mwishoni kitatokea, kama huwezi funga uzi
Mimi nimewaomba wanipe vitu nilivyotaka niwakumbanishe na uchawi live lakini wananipiga chenga tuNaona mnabishania sana kwenye Hili suala.
Uchawi upo.
Pengine hauelewi maana ya Uchawi na ukaishia kujua kwamba uchawi ni kuroga tu.
Sayansi haithibitishi kila jambo.
Mfano. Je mwanadamu ana roho?.
Kama hujawahi kukumbwa na changamoto za kichawi basi mshukuru Mungu.
Na kama Hauamini.
Nataman sana ukumbane Nazo na zikudhuru. Ili ujue kuwa uchawi upo.
Na useme tawile.
Kwanini usimroge hapo hapo kupitia hayo maandishi yake, yaan mpaka upewe viungo vyake na jina juu wewe mchawi konki umeshindwa nini kumjua kila kitu kupitia tu hiyo comment yake?HUTOI HATA 100, MIMI NIPE NYWELE,KUCHA NA JINA LAKO NA LA MAMA YAKO, HUTOI HATA MIA.
Bro, ikiwa mtu ana kinga kali sana mwilini ambayo kimsingi ameipata kwa hao hao wachawi. Sasa akaja akakupa chochote kati ya vitu ulivyoomba na ushindwe kufanya lolote si atakuwa amekudify kuwa UCHAWI HAKUNAKikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalaleNitakuloga ufe kabla ya week 2 kuisha, kama unabisha tukutane unipe hivyo vitu nilivyoomba halafu usubiri
Kwahiyo unanifundisha namna ya kufanya kazi? Wewe tumia aina ya uchawi huo ambao unauelezea wangu unafanya kazi tofauti.Kwanini usimroge hapo hapo kupitia hayo maandishi yake, yaan mpaka upewe viungo vyake na jina juu wewe mchawi konki umeshindwa nini kumjua kila kitu kupitia tu hiyo comment yake?
You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalale
Tukutane unipe hivyo vitu halafu kaa subiri, huamini uchawi halafu unaogopa kufa, basi nitakupunguzia kibano, wewe kama upo dar tukutane nipo hvyo vitu, lazima uone upumbavu maana hauamini uchawi, WEWE SHIDA YAKO NINI TUKUTANE NIPE KUCHA NA NYWELE AU UNYAYO WAKO HALAFU UNAONDOKA UNAENDA KUENDELEA NA MAISHA KWANI UNAOGOPA NINI??? KAMA NI UPAMBAVU UTALETA USHUHUDA NDANI YA HIZO WEEK 2, INAKUAJE UNALETA MATOKEO NA USHUHUDA KABLA YA KAZI ?You are not serious, ndio maana mnaonekana waongo tuu maana hakuna mtu mwenye akili atakubali experiment ya kipumbavu kama hiyo, funga uzi ukalale
Never 👎Tukutane unipe hivyo vitu halafu kaa subiri, huamini uchawi halafu unaogopa kufa, basi nitakupunguzia kibano, wewe kama upo dar tukutane nipo hvyo vitu, lazima uone upumbavu maana hauamini uchawi, WEWE SHIDA YAKO NINI TUKUTANE NIPE KUCHA NA NYWELE AU UNYAYO WAKO HALAFU UNAONDOKA UNAENDA KUENDELEA NA MAISHA KWANI UNAOGOPA NINI???
ACHA UOGA, UNAOGOPA NINI? UNANIPA KIKUCHA TU NA NYWELE HALAFU KILA MTU ANAONDOKA ZAKE, KABLA YA WEEK MBILI KUISHA UTAKUJA HAPA KUSEMA UCHAWI UPO AU HAUPO, NITAKUPUNGUZIA KIBANO ILI URUDI HAPA KUTOA USHUHUDA,SI NDIO LENGO LETU?Never 👎
Siwezi kuthibitisha hapa kuwepo kwa upepo na sidhani kama kuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo upepo.Yes! Thibitisha kuwepo kwa upepo unaoamini kuwa upo
Hayo maelezo umenikusudia mimi?Naona mnabishania sana kwenye Hili suala.
Uchawi upo.
Pengine hauelewi maana ya Uchawi na ukaishia kujua kwamba uchawi ni kuroga tu.
Sayansi haithibitishi kila jambo.
Mfano. Je mwanadamu ana roho?.
Kama hujawahi kukumbwa na changamoto za kichawi basi mshukuru Mungu.
Na kama Hauamini.
Nataman sana ukumbane Nazo na zikudhuru. Ili ujue kuwa uchawi upo.
Na useme tawile.
Kwahiyo changamoto ya kuumwa na tumbo ghafla ndio Zongo (uchawi)?Bila shaka unataka ushuhuda wa changamoto za kichawi.
Ila kwanza fahamu hili.
Uchawi ni nguvu za pekee za kufanya maajabu yasiyowezekana kwa nguvu za kawaida.
Nimetoa mifano ya Farao na ipo mifano ming ya Biblia na Quran.
Labda ww haumini Mungu.
Na pia haumini Shetan.
Kwahiyo nisijikite huko.
(Maana ukiamin haya basi utaamini kuna uchawi upo).
Nirud kwenye Uhalisia ambao ww unataka kushuhudia changamoto ili uamini.
Tanga kuna uchawi unaitwa Zongo.
Mm nimewah kudhulika nao. Nilienda handeni - Kibindu. 2018 Kwenda kuzika. Kuna Mbibi mmoja alikuwa ananiangalia sana . Nikaona atakuwa ananifananisha. Tumemaliza kuzika. Majira ya saa 9 mchana.
Watu hawajatawanyika vizur. Nikaanza kuumwa na Tumbo la kusokota na nikaishiwa nguvu.
Nikawa nachuchumaa. Baada ya hapo naona Watu wananibeba na kunipekeka nyumba ya karibu na kunilaza kwenye mkeka. Sina Faham. (Yaan inakuja na kukata)
Wamepiga dua sana. Na baadae kuna dawa wakakoroga wakanipa kwa kijiko kidogo kdogo.
Nikazinduka. Lisaa lizima na zaid sikuwa na nertwork. Na nasikia nilikuwa nazungusha macho. Mara nyingne kiini cheus hakionekani.
Kumbuka ni kitu cha gafla tena makaburini.
Wataalam walisema ni Zongo na ndio nikakumbuka yule mbibi alivyokuwa ananitizama kabla hatujaelekea makaburini.
Je Hii Zongo tuiteje?
Au unahisi sio uchawi?
Upepo unathibitishwa kwa kipima upepo/anemometerSiwezi kuthibitisha hapa kuwepo kwa upepo na sidhani kama kuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo upepo.
Unaamini tu kitutusa! SawaSiwezi kuthibitisha hapa kuwepo kwa upepo na sidhani kama kuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo upepo.