Uchunguzi wa nini wakati hakuna ushahidi na kutokuwepo kwa ushahidi ni ushahidi wa kwamba polisi hawahusiki. Kwahiyo kwa mujibu wa maelezo yako tunatakiwa tukubali kwamba upo ushahidi kuwa polisi hawahusiki na utekaji na ushahidi wenyewe ni kutokuwepo kwa ushahidi wa polisi kuhusika na utekaji.Ndiyo, naweza kukubaliana na wewe na hili kuwaondoa police kabisa katika hizo tuhuma nitataka tume huru ya uchunguzi. Pia kwa sababu police ndio wana wajibu wa kulinda raia na wanasema sio wao wanaoteka watu, wameshindwa kuwatambua watekaji na wameshindwa kuzuia utekeji uliokithiri kwenye utawala wenye uwajibikaji itabidi viongozi wake wajiuzulu pamoja kukubali tuwatafutie usaidizi kutoka vyombo vya nje nje vyenye weledi zaidi mfano FBI.
Anajua mkuu ila anajizima tu data upepo hata kwa kuuhisi unauhisi kwa kutumia ngozi tuUpepo unathibitishwa kwa kipima upepo/anemometer
Nimesema hakuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo kwa upepo hapa ila unadai naamini kitutusa. Haya hebu wewe thibitisha hapa kuwepo kwa upepo au elezea ni vp inawezekana kuthibitisha uwepo wa upepo hapa?Unaamini tu kitutusa! Sawa
Twende hii, unaamini na kujua kuwa kuna magari? Jibu ndio au hapana
Haya thibitisha hapa tuone huo uthibitisho wa uwepo wa upepo, mimi sijasema siwezi kuhisi upepo ila wewe umetaka nithibitishe hapa.Anajua mkuu ila anajizima tu data upepo hata kwa kuuhisi unauhisi kwa kutumia ngozi tu
Hoja hapa sio uwezekano wa upepo kuthibitishika ila jamaa anataka nimthibitishie hapa kuwepo kwa upepo.Upepo unathibitishwa kwa kipima upepo/anemometer
Upepo upo na unathibitika kwa kuhisi kupulizwa katika ngoziNimesema hakuna mwenye kuweza kuthibitisha kuwepo kwa upepo hapa ila unadai naamini kitutusa. Haya hebu wewe thibitisha hapa kuwepo kwa upepo au elezea ni vp inawezekana kuthibitisha uwepo wa upepo hapa?
Kwanini unafikiri kwamba kwa sababu kuna uchawi basi inawezekana kumroga kila mtu na akarogeka?Wachwawi mlogeni Samia
Nishathibitisha niambie sasa unaamini na unajua kuwa kuna magari? Jibu na hili sema ndio au hapanaHebu sasa wewe mthibitishie hapa uwepo wa upepo.
Hapo umeeleza kwa njia gani upepo unaweza kuthibitishika, sasa niambie unaweza kuthibitisha vp hapa huo upepo kwa hizo njia ulitaja?Upepo upo na unathibitika kwa kuhisi kupulizwa katika ngozi
au kuvuma na kutikisa miti na majani
au kutimua vumbi
Au kusukuma mashua na majahazi baharini
KUBWA KULIKO, ni kupima kwa kutumia kifaa kinachoitwa ANEMOMETER
Hakuna mtu amesema umthibitishie hapa uwepo wa upepo, hata hivyo unaweza kumuelekeza namna ya kutthibitisha uwepo wa upepo ila huwezi kumuelekeza namna ya kuthibitisha uchawi popote.Hoja hapa sio uwezekano wa upepo kuthibitishika ila jamaa anataka nimthibitishie hapa kuwepo kwa upepo.
Hebu sasa wewe mthibitishie hapa uwepo wa upepo.
Haujathibitisha bali umetaja njia ambazo zinaweza kutumika kuthibitisha upepo.Nishathibitisha niambie sasa unaamini na unajua kuwa kuna magari? Jibu na hili sema ndio au hapana
Umeamua kuona tumbo tu 😂😂😂.Kwahiyo changamoto ya kuumwa na tumbo ghafla ndio Zongo (uchawi)?
Hapo nimethibitisha sijaeleza njiaHapo umeeleza kwa njia gani upepo unaweza kuthibitishika, sasa niambie unaweza kuthibitisha vp hapa huo upepo kwa hizo njia ulitaja?
Kama hajaniambie nimthitishie uwepo wa upepo kumbe aliniambia nifanyaje? Hebu niambie, hakusema nimuelekeze namna ya kuthibitisha upepo bali alisema nithibitishe uwepo wa upepo.Hakuna mtu amesema umthibitishie hapa uwepo wa upepo, hata hivyo unaweza kumuelekeza namna ya kutthibitisha uwepo wa upepo ila huwezi kumuelekeza namna ya kuthibitisha uchawi popote.
Unaelewa maana ya uthibitisho au kuthibitisha?Hapo nimethibitisha sijaeleza njia
Njia za kuthibitisha ni tano au sita
1. Kuonwa
2. Kuhisi
3. Kusikika
5. Kunusika
6. Kupimika
Ili kitu kiwepo lazima either kionwe, kinuswe, kisikike, kihisike au kipimike
Hapo nimethibitisha ni kivipi upepo unahisika katika ngozi kuwa huwa unapuliza lakini pia tunaupima kwa kutumia ANEMOMETER
Hebu nipe maana mkuu kuthibitisha ni kufanyajeUnaelewa maana ya uthibitisho au kuthibitisha?
Watu wakipotea lazima watafutwe bila kujali police wanahusika au hawahusiki. Police ndio wanawajibu wa kuwatafuta watu waliopotea, police wakishindwa kuwatafuta watu waliopotea au kuzuia watu kupotea kwenye mazingira tata ina maana wameshindwa kazi hivyo wanahitaji kujiuzulu au kusaidiwa ili kupisha watu wanaoweza kufanya kazi, hata hivyo kwa sababu nchi sio kisiwa na kuna ushahidi wa nchi nyingi ambazo police wamewahi kutiwa hatiani na mahakama kuhusika na watu kupotea na mauaji ya kisiasa au utawala mbovu baada ya wao kukana ndio maana ya kuhitajika kwa tume huru tuhuma za aina hiyo zinapotolewa.Uchunguzi wa nini wakati hakuna ushahidi na kutokuwepo kwa ushahidi ni ushahidi wa kwamba polisi hawahusiki. Kwahiyo kwa mujibu wa maelezo yako tunatakiwa tukubali kwamba upo ushahidi kuwa polisi hawahusiki na utekaji na ushahidi wenyewe ni kutokuwepo kwa ushahidi wa polisi kuhusika na utekaji.