Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Jibu swali sasa hapo ndio umejibu?
Unaleta blah blah unashindwa kuthibitisha kitu unachosema kipo wakati hakipo
Wapi nimesema kuwa upepo haupo waweza kutag hiyo chattingWw hadi upepo unasema hauko.
Kwamba tuthibitishe.
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama.
Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)
Ukikosa hivyo nipe NYUZI tuu kidogo za shati lako unalovaa au nipe tuu NGUO YAKO YA NDANI.
AU NJOO TU HIVYOHIVYO UTAKANYAGA CHINI NIBEBE UNYAYO.
Naona watu mnabishana sana humu ndani.
Sitaki maneno mengi NIPO TAYARI KUTHIBITISHA UCHAWI UPO KWA WASIOAMINI.
#MO29
Ndugu acha tu...uchawi upo anae bisha atoe sample jamaa amfanyie.Sasa asilimia kubwa ya watu wanaobisha hakuna uchawi ni kutokana na mazingira yao waliyokulia hawajawahi kupatwa na majanga mazito na yakakosa solution yake.
Sasa hayo uliyoyashuhudia wewe ni machache sana yako maajabu mengi sana utakutana nayo ukitembea vijijini ndanindani huko hasahasa maeneo ya usukumani na baadhi ya mikoa ya pwani.
Sasa nitajibu mara ngapi maana kila nikijibu baadaye unarudia tena swali hilo hilo ndio maana nakuuliza una umri gani sababu naona umekuwa mzito kuelewa kitu cha kawaida kabisa.Jibu swali sasa hapo ndio umejibu?
Unaleta blah blah unashindwa kuthibitisha kitu unachosema kipo wakati hakipo
Wangekuwa wamesoma sana basi wangetuelimisha kwa elimu waliyonayo.Yani bado tu mnabishana kuhusu uchawiπ ukisoma sana unakuwa mjinga au?
Eti wanasayansi! Hawataki theory wanataka proof! Mtu umezaliwa kila kitu umekikuta, ulichoanza kujifunza kabla ya vingine unataka tukiamini kama wewe, kila kitu umekikuta hivyo wote tunajifunza au tunaelimishana!Wangekuwa wamesoma sana basi wangetuelimisha kwa elimu waliyonayo.
Toka tunaanza ushasema huwezi kuthibitisha uchawi ila washindwa kukubali kuwa haupo sasa kitu kitakuwepoje bila uthibitisho wa kuwepo kwakeSasa nitajibu mara ngapi maana kila nikijibu baadaye unarudia tena swali hilo hilo ndio maana nakuuliza una umri gani sababu naona umekuwa mzito kuelewa kitu cha kawaida kabisa.
Shida yenyewe hiyo sayansi hawaijui ni mashabiki tu, yani mtu uelewa wake ni kwamba hakuna uchawi kisa tu hakuna uthibitisho wa kisayansi haelewi kwamba sayansi ina mipaka yake kutokana na misingi yake ndio maana kuna mambo mengi tu ambayo zamani yalipingwa ila baadaye yakaja kukubalika kwa ushahidi wa kisayansi baada ya kupatikana teknolojia ya kuweza kuyathibitisha.Eti wanasayansi! Hawataki theory wanataka proof! Mtu umezaliwa kila kitu umekikuta, ulichoanza kujifunza kabla ya vingine unataka tukiamini kama wewe, kila kitu umekikuta hivyo wote tunajifunza au tunaelimishana!
We learn and unlearn things bwana!