Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

🤣🤣🤣 Eti mafua, kitakachotokea ni kishindo kikubwa mafua gani tena, yani kifupi UTAPATA JIBU LA UHAKIKA KABISA WALA USIJALI NAKUHAKIKISHIA.
Wangapi kila siku wanapatwa na janga ? Kama ungekuwa umekutana na Mzee Raila last month si ungechukua Credit ya kifo chake leo ?

Bad things do happen...
 
Uchawi upo watu wanajua Kila kitu mpaka majina Yako.

Yaani achana na wachawi...hata vitabu takatifu vinataja UCHAWI alafu mtu MMOJA kashiba makande anasema hakuna UCHAWII
Hao wanaosema HAKUNA UCHAWI natamani sana aje mmoja PM alie dar anipe hivyo vitendea kazi, halafu yeye mwenyewe atapata jibu na atakuja kuandika hapa.
 
Kama huo uchawi umekusaidia kuwa na pesa na kuishi comfortably hakuna haja ya kuhangaika hivyo kuprove kwa watu.
Uchawi una miiko yake ndio maana black & white magic Sasa kwa Leo jikite kwenye topic wanao bisha uchawi haupo jamaa kajitolea kuwafundisha kwa njia ngumu...

Kuhusu pesa na mali labda tumuombe comrade kipepe 😊 iwe next mada kwa Sasa ni kuthibitisha through hard way kua uchawi una exist
 
Wangapi kila siku wanapatwa na janga ? Kama ungekuwa umekutana na Mzee Raila last month si ungechukua Credit ya kifo chake leo ?

Bad things do happen...
Mpaka utakapokubali uchawi upo ndio utakapochomoka kwenye hiyo shida, MPAKA UKUBALI. WEWE MANENO YANINI??? NJOO PM KAMA UPO DAR TUKUTANE NICHUKUE VITENDEA KAZI, MAMBO YA RAILA YANATOKA WAPI? UNAOGOPA NINI UTAKUFA NA HAUAMINI UCHAWI?
 
Wizi mtupu
 
Hii ndio point yangu, tufanye kwa vitendo ili kupata jibu, shida yetu hapa wasioamini kua kuna uchawi NIWATHIBITISHIE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…