Mpaka nije kwako ili uthibitishe it means sina uhakika, na sababu ninajali muda (time management) kupoteza muda kwa hii project ni matumizi mabaya ya rasilimali muda...Mpaka utakapokubali uchawi upo ndio utakapochomoka kwenye hiyo shida, MPAKA UKUBALI. WEWE MANENO YANINI??? NJOO PM KAMA UPO DAR TUKUTANE NICHUKUE VITENDEA KAZI, MAMBO YA RAILA YANATOKA WAPI? UNAOGOPA NINI UTAKUFA NA HAUAMINI UCHAWI?
🤣🤣🤣🤣 UOGA WAKO UMEZIDI, NJOO TUKUTANIE KITUO CHA POLISI AU NJOO HATA NA WENZAKO WENGI KWA USALAMA, AU NJOO TUKUTANIE KWENYE KITUO CHA MWENDOKASI KUNA WATU WENGI USALAMA UPO, UCHAWI HAUKUTOI DAMU MZEE, UNABAKI KAMA ULIVYO LAKINI MAJIBU UTAYAPATAUnataka umwone mtu kisha umdhuru physically kisha useme tayari uchawi umefanya kazi.
Nimejitolea mie uniroge . Tumia uchawi wako kukusanya sample zako. Otherwise ni utapeli tu.
Naona mmeamua kutanua magoriii...Unataka umwone mtu kisha umdhuru physically kisha useme tayari uchawi umefanya kazi.
Nimejitolea mie uniroge . Tumia uchawi wako kukusanya sample zako. Otherwise ni utapeli tu.
Huji kwangu, tunakutania mahali au niambie wewe ulipo kama ni dar NAKUFUATA MIMI, kukata kucha, Nywele na kunipa JINA LAKO na LA MAMAYAKO MZAZI, haichukui HATA DAKIKA 5.Mpaka nije kwako ili uthibitishe it means sina uhakika, na sababu ninajali muda (time management) kupoteza muda kwa hii project ni matumizi mabaya ya rasilimali muda...
Wewe tumia ujuzi wako kuloga maadui zetu watatu (umasikini, Ujinga na maradhi) na sio kuongeza Maadui kwa kupalilia Ujinga
Wewe tumia uchawi wako kupata unavyovitaka.Acha uoga, uoga wanini?? Kama haupo Tanzania siku ukija dar nitafute tukutane nichukue hivyo vitu, WEWE SHIDA YAKO NINI?? SI MIMI TUU NIKUTHIBITISHIE?? SASA MBONA UNANIFUNDISHA TENA NAMNA YA KUFANYA KAZI
HUU SIO UZI KWA AJILI YA KUBISHANA.
Ni ujinga mno, hivi Kuna mtu mwenye akili timamu ataenda akatwe kucha.
mchwi ni kama team yenye mshambuliaji kiungo na beki mi nataka tuingie batle nakupa ivyo vitu unavyotaka wewe alafu nakupa siku moja kuthibitisha ukichemka kuniroga wewe unanipa vyako kama nilivyokupa mimi alafu tuone mimi naeamini uchawi hakuna bali ni sanaa ya gizani tu na ww unaeamini ulozi nani atakaelima shamba l yanga kule kigamboni.
😂😂😂😂😂 Si ndio hapo,?? Uchawi si HAKUNA?? hofu ya nini??Kaka mbona kama hofu imetanda Kaka unakwama wapii 😊😊
Usiandike tena chochote huu uzi haukuhusu KWA SASA, UTAKUHUSU SIKU UKIFIKA DARWewe tumia uchawi wako kupata unavyovitaka.
Sawa, UPO DAR SEHEMU GANI??Mtoa mada ni kama mbuzi
uo uchawi kama unaufanya wewe siku moja inatosha kabisa kufanya kaz labda kama unataka kumpelekea babu yako huko kwenu namanyele wewe kama huwezi siku moja nipe vitu vyako mkuu siku moja tu uone sanaa inavyokulimisha shamba la mkaratusi makambako.WEWE SI UNAMINI HAKUNA UCHAWI???
SASA MBONA UNANIPA DEADLINE ( UNAJUA UCHAWI UNAFANYAJE KAZI)
WEWE NIPE HIVYO VITU HALAFU SUBIRI, USIWE NA SHAKA NA KITU AMBACHO HAKIPO, YANI USIJALI🤣, KITU AMBACHO HAKIPO NAWEZA KUONDOKA NA HIVYO VITU NIKAKAA NAVYO HATA MWAKA MZIMA NA USIDHURIKE, MBONA UNANIPANGIA NAMNA YA KUKUTHIBITISHIA??
Huu uzi haujauelewa naonauo uchawi kama unaufanya wewe siku moja inatosha kabisa kufanya kaz labda kama unataka kumpelekea babu yako huko kwenu namanyele wewe kama huwezi siku moja nipe vitu vyako mkuu siku moja tu uone sanaa inavyokulimisha shamba la mkaratusi makambako.
Mimi pia siamini tumie uchawi huo unaojisifia unieleze nipo nchi gani now ukifanya hivyo kuanzia leo nitaamini .Mimi nataka ambao hawaami i niwathibitishie kua UCHAWI UPO, hivyo tu, maana hua wanasema THIBITISHA
Rudia nilichoandika, ukielewa utajua hukutakiwa hata kuandika kituMimi pia siamini tumie uchawi huo unaojisifia unieleze nipo nchi gani now ukifanya hivyo kuanzia leo nitaamini .
si nimekuambia uchawi hakuna na ww sio mchawi unapiga debe tu hapa hakuna uchawi bana ni sanaa tu ukijua kanuni zake basi unaweza fanya tu na inategemea na imani ya mtu tuu uchawi hakuna bali sanaa tu iyoHuu uzi haujauelewa naona
Nipo Mbeya nitumieni nauliKaka mbona kama hofu imetanda Kaka unakwama wapii 😊😊