Mnaosema hamuamini uchawi, njooni niwathibitishie

Uchawi wako hauna nguvu hadi mkutane? Kama una nguvu ungepata hivyo vitu kishirikina. Hiyo tayari ni failure.

Mtu gani mwenye akili timamu akubali wembe na mkasi asiojua vimetoka wapi akubali vitumike kwake? Ningekwambia tumia akili ila ni dhahiri huna akili ndo maana unaamini huu uzwazwa.
 
Tafuta nyembe zako then peleka kucha izo.
Sasa unadhuru vipi mtu ambae hauna shida nae.
Au unadhani na wachawi wanaroga tu yeyote.
Uchawi upo.
 
Hamna akili.

Huo uchawi wenu hauna nguvu ya kupata nywele kishirikina hadi mletewe? Nonsense.
Ukihitajika kweli zinapatikana tu, Na haibadilishi fact ya kwamba uchawi upo.
Kukubali uchawi upo haumaanishi kwamba wewe sio civilized hapana.
Dini zote zinakubali uchawi upo na una aswa ujilinde na uchawi kwa nguvu za mungu.
Pia mababu zetu walikua wanaamini kwamba kuna nguvu ipo kwenye mibuyu, Mapango nk.
 
 

Babu zako uchawi haukuwasaidia kitu hadi wakafanywa watumwa.

Unatetea uchawi kwa nadharia za dini? Nani kakwambia mimi nasadiki hizo hadithi za kusadikika?
 

Nunua wembe DUKANI njoo nao wewe, yani sasa inakuaje kitu ambacho hakipo unakipangia namna ya kufanya kaz?
 
Sasa kama wewe mtekaji unakusanya DNA za watu tutajuaje?

Kama una uchawi kweli utume hapa JF.

Ukishapata DNA ya mtu hiyo ni biology na chemistry tena, si uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…