comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #101
Mimi nimetulia.Tulia sasa, usiandike tena kitu, subiri wenye fikra kamazako walio bongo watakuwakilisha.
Hakuna uchawi.wasukumu ndio wenye competition na watu kutoka Sumbawanga halafu leo unawakaa ndugu zako, da 🙂 mwambie mtoa mada atoe maelezo yaliyinyooka ili watu wafuate muongozo wa nini anacho taka kufanya...
Uchawi mara nyingi unatumika kihalifu; kuua, kudhuru, kupata mali kihalifu, kulinda wahalifu n.k
Kuna sehem hapo juu nimeandika huu uzi sio wa kubishana, kama hauwez kufuata nlichokwambia baki na unavyoamini. MARA HAKUNA UCHAWI, MARA UCHAWI UNATUMIKA KUFANYIA UHALIFU, HII NI MIXER YA AINA YAKEUchawi mara nyingi unatumika kihalifu; kuua, kudhuru, kupata mali kihalifu, kulinda wahalifu n.k
Unalinda wezi wasipigwe risasi, akina Lissu wanafanywa vilema na risasi.
comrade_kipepe unachangamsha genge tu na kucheza na hisia za watu kwenye anga hizo, hakuna cha uchawi wala nini.
Sasa hapo utakuwa umethibitisha?Tukutane sasa unipe hivyo vtu, wewe si hauna imani potofu? Tukutane nakukata nywele mwenyewe na kucha, usije ukanipa vya mtu mwingine
Ukishanipa hivyo vitu mimi naenda kivifanyia kazi kukuloga, naweza nikakuua kwa maslahi yangu binafsi, au nikakupa ugonjwa tuu ambao hautobiki hospital, kama upo tayr tukutane? WEWE SI HAUAMINI UCHAWI? KITU AMBACHO HAKIPO HAKIWEZI KUKUDHURU WEWE TUKUTANESasa hapo utakuwa umethibitisha?
Hivi kitu huthibitishwa kwa kutumia nini ili kijulikane kipo?
Ana waganga wa kila pembe ya africa, na anapotoka kuna uchawi mkali balaaKwa hiyo na ujuzi wote huo hamjafanikiwa kupata kimojawapo kutoka Kwa yule mama Ili nchi itulie?
Unapangia jinsi ya kufanya kazi?? Wewe kama kitu unaamini hakipo unaogopa nini ?Kwa nini usivichukue kichawi??
Inasikitisha sanaRudia nilichoandika, ukielewa utajua hukutakiwa hata kuandika kitu
Kwanini mnataka tufanye mabaya ndio utu thibitishie kwanini msiutumie kwa manufaa, suala la uchawi ni ujinga tu nduguUchawi upo.
Hoja ya kusema kwa kuwa hujaona uchawi kwenye mazingira yako basi uchawi hamna sio sahihi.
Watu wanarogana sana tu.
Watu wanaruka usiku na ungo.
Watu wanachukuliwa misukule.
Watu wanauliwa kimazingara.
Nenda Tanga kwa wazigua au Pemba na uibe kitu cha mtu.
Alaf uone matokeo.
Kama ni habar unazisikiaga tu basi Na nataman sana siku moja Kiranga uone dhahiri kwa macho yako au udhurike ww binafsi kwa uchawi.
Na useme sasa Tawile ili jambo hili litokee huko mbelen.
Namwogeza Infropreneur kwenye orodha
Kwanini mnataka tufanye mabaya ndio utu thibitishie kwanini msiutumie kwa manufaa, suala la uchawi ni ujinga tu ndugu