comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #121
Wanaongea sana, nikiwafuata PM tukutane wanipe sampuli za kufanyia huo utafiti wananitukanaNenda peleka kucha na nywele kwa comrade_kipepe .
Sio lazima ufanye ubaya.
Hata ukienda Pemba na utangaze kuwa hauamini uchawi na kama kuna mtu ana weza kukuloga akuloge.
Na uone matokeo.
Mnajua mnasemea tu hapa kwa kuwa hamjawah shuhudia.
Uchawi hata Biblia na Quran zimeandika.
Kuna uchaw mweupe na kuna uchawi mweusi.
Kuna watu wanautumia huo mweupe kwa maendeleo, kinga nk. Au unadhan Waganga wanatumia nn?
Ni uchawi huo huo ila kwa manufaa.
Mababu zetu waliweza kutumia jeshi la nyuki kupigana na wakoloni.
Nawambia sana watu hii kitu hawaaminiUpumbavu mtupu. Hakuna uchawi.
Ujinga tu na Imani potofu.Nenda peleka kucha na nywele kwa comrade_kipepe .
Sio lazima ufanye ubaya.
Hata ukienda Pemba na utangaze kuwa hauamini uchawi na kama kuna mtu ana weza kukuloga akuloge.
Na uone matokeo.
Mnajua mnasemea tu hapa kwa kuwa hamjawah shuhudia.
Uchawi hata Biblia na Quran zimeandika.
Kuna uchaw mweupe na kuna uchawi mweusi.
Kuna watu wanautumia huo mweupe kwa maendeleo, kinga nk. Au unadhan Waganga wanatumia nn?
Ni uchawi huo huo ila kwa manufaa.
Mababu zetu waliweza kutumia jeshi la nyuki kupigana na wakoloni.
Ni wajinga tu ndio wanaamini huo upuuzi wakina comrade_kipepe na wajinga wenzie wanaomba kucha aje kwangu anithibitishie nikiwa kwanguNawambia sana watu hii kitu hawaamini
HahahaNi wajinga tu ndio wanaamini huo upuuzi wakina comrade_kipepe na wajinga wenzie wanaomba kucha aje kwangu anithibitishie nikiwa kwangu
Watu wanaoamini hivyo vitu wapo kwenye spectrum ya limited thinkingHahaha
Hizo mimi napeleka kilingeni, kwako kuna kilinge?? Mbona unakua muoga sana na kitu ambacho hakipo? Kwahyo unaogopa nisiende na kucha zako kilingeniNi wajinga tu ndio wanaamini huo upuuzi wakina comrade_kipepe na wajinga wenzie wanaomba kucha aje kwangu anithibitishie nikiwa kwangu
Wewe njoo kwangu, unithibitishie nikiwa kwanguHizo mimi napeleka kilingeni, kwako kuna kilinge?? Mbona unakua muoga sana na kitu ambacho hakipo? Kwahyo unaogopa nisiende na kucha zako kilingeni
Eti nini kitatoke..ushaingia woga ๐๐๐ kama wewe dumbe la mbegu mwachie kucha, Shari, mavuzi yako, nywele..halafu endelea kunywa bia kwa raha zako
Nini kitatokea hujasema, sema nini kitafanyika tukitumie kama kipimo cha zoezi letu. Halafu mimi najitolea kukuletea vya kwangu. Ukitoa jibu uje jion leo karibu na Hotel ya Blue Saphie Vingunguti nikupatie
๐๐๐ Mijitu mioga aise...Wewe njoo kwangu, unithibitishie nikiwa kwangu
Huyo jobless hawez kubali huyo ..Natamani PM ZIWE NYINGI KULIKO REPLY, Mbaga Jr USIISHIE KUREPLY HAPA NJOO PM NIPE NAMBA ZAKO NIKIPITA HAPO CHALINZE NASHUKA, NAKUCHUKUA NYWELE NA KUCHA HALAFU MIMI NAONDOKA, BAADA YA WEEK 2 UTAKUJA HAPA UTAANDIKA KAMA UCHAWI UPO AU HAUPO.
KUnipotezea muda hana jipya, aseme ili nyie muwe mashuhudaEti nini kitatoke..ushaingia woga ๐๐๐ kama wewe dumbe la mbegu mwachie kucha, Shari, mavuzi yako, nywele..halafu endelea kunywa bia kwa raha zako
Muoga balaa, nimemfuata pm nimemwambia siku ya kwenda kuchukua sampuli kanitukana balaa, halafu akija hapa anapiga kelele hakuna uchawi, wakati yeye mwenyewe anaogopa kulogwaHuyo jobless hawez kubali huyo ..
Balaaa, halafu weng sana nimewafuata pm tukutane nichukue zaga wananikimbia, wengine wananitukana๐๐๐ Mijitu mioga aise...
Namimi ndicho nlichokua nataka hicho, uchawi si haupo?? Anipe tu nilivyomuomba halafu yeye aendelee na maisha yake.Eti nini kitatoke..ushaingia woga ๐๐๐ kama wewe dumbe la mbegu mwachie kucha, Shari, mavuzi yako, nywele..halafu endelea kunywa bia kwa raha zako
Acha uongo basi, kumbe unatafuta kiki nilijua una userious. Onesha hizo pmMuoga balaa, nimemfuata pm nimemwambia siku ya kwenda kuchukua sampuli kanitukana balaa, halafu akija hapa anapiga kelele hakuna uchawi, wakati yeye mwenyewe anaogopa kulogwa
Acha uongo basi, kumbe unatafuta kiki nilijua una userious. Onesha hizo pm
Ni ujinga tu ๐ฎ๐ฎ๐ฎAcha uongo basi, kumbe unatafuta kiki nilijua una userious. Onesha hizo pm
Utoto upi? Mtu anaesema uchawi hakuna wakati anaogopa kulogwA?Ni ujinga tu ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hii thread imeshakuwa na utoto mwingi.