Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

mjomba huon jinsi walivyopoteana wanaona chenga tu hebu wasaidie kutafsiri tupate wachangiaji uzi umedoda huu.

Sawa juu ntaanza na short summary ya hiyo story. Ngoja ni edit
 
Mzee baba kumbe hili yai limetoka nchi jirani ya kenya. Nkajua ni la mtu wa bongoland. Haya mambo yananifanya nichelewe kuwowa hakiya nani.
 
Mnachunguza chunguza ili iweje? Heshimuni privacy za wenzenu, hamna aliye mkamilifu.
Ila kuna kitu cha uongo hapo, tango ulitoe kwenye friji kisha ulipashe kwenye microwave kisha upigie puchu..... huo ni uongo. Hilo tango lingerojeka
Kwa hiyo na sisi wapenz wasomaji tumelishwa tango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona Rasi Simba amekuja na mkakati mpya kabisa. Anafanya marketing ya kidijitali. Hizo nyuzi zinatunyanyapaa inabidi tu tumtafute atupige darasa la british.

Tukirudi kwenye mada, privacy kitu cha muhimu sana, ujue hata kushika simu ya mtu, anaweza asiwe na mapichapicha lakini hajisikii vizuri, ana vitu vyake mle.

Kama kila mmoja wetu angewekewa camera ya kuchukua matukio yake ya siku nzima bila yeye kujua, sidhani kama kuna mtu angetamani kujua anafanyiwa hivyo.
 
Sasa kwanini ashindwe kumpa sababu ya kumuacha kuwa ameliea na watu watatu. Sehem kubwa ya malalamiko yake ni kuhusu tango sio mkewe kuingiza watu chumbani
Kinachomuumiza ni tango kutumiwa na watu wawili tofauti halafu tango hilo hilo linawekwa mezani muda wa chakula
 



Mnachunguza chunguza ili iweje? Heshimuni privacy za wenzenu, hamna aliye mkamilifu.
Ila kuna kitu cha uongo hapo, tango ulitoe kwenye friji kisha ulipashe kwenye microwave kisha upigie puchu..... huo ni uongo. Hilo tango lingerojeka


Hata kama hakuna aliyekamilika lakini siyo kwa hayo yanayotokea hapo juu. Kufanya uchafu wenu halafu mje kuuingiza mpaka kwenye chakula ambacho kila mtu anakula, Hii si sawa.

Hilo tango analipasha joto kidogo ili apate taste kama ile ya d*ck yenyewe. Tofauti na likiwa la baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…