Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

Upumbavu mtupu kichwa umetumia kiswahili ndani kiingereza ushamba ulioshiba huu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah!!!! Na awo ni anaofanyia nao apo
Bado wale wa nje
 
Thats why i became a detective of my own. God gifted me with smart brain, ill damn if i wont use it for my well being. Thats include to run secret spying campaign on my spouse when i sence something fishy is going on. Amd i wont quit,coz she knows it that i do, she know when i catch her , ill open hells gates and escort her to devil myself.
 

Ipo hivi, ni kweli kwamba kuingilia privacy ya mtu ni makosa na hata muhusika amekiri hilo.

Ni kweli kwamba kila mtu ana uchafu, lakini degree ya huo uchafu hupungua maradufu kama huyo muhusika utakuwa unampenda kweli kutoka moyoni. Utafanya vitu vingi kwake with highest degree of integrity.

Can you say kwamba huyo wife na Housemaid walikuwa na mapenzi mema kwa huyo jamaa kwa mambo waliyokuwa wanafanya? Maana kuna sehemu jamaa anasema kwamba alimuona housemaid anaspit katika chai.

Everyone has his/her dark side...

Nothing is new or to be surprised with...


Cc: mahondaw
 
When I was in mwanza in 2009 I met a certain friend(he),also explained the issue that is relating to. But all in all today's world is full of love violence,what to do for those who are in marriage/courtship is to keep on praying so that God can help them to live according to His will by following his commandments(10).
 
Hili sasa ndio yai lenyewe la mbongo asilia
 
Mnachunguza chunguza ili iweje? Heshimuni privacy za wenzenu, hamna aliye mkamilifu.
Ila kuna kitu cha uongo hapo, tango ulitoe kwenye friji kisha ulipashe kwenye microwave kisha upigie puchu..... huo ni uongo. Hilo tango lingerojeka
Hapana unajua kaka hata kama ni suala la privacy. Kuwa cheated na wife inauma mbaya... alaf ni dharau sababu unakuta unahudumia mwanaume unajituma kila sekta lakin mwisho ndio haya.

Mm nasema kuwa na madhaif mengine but cheating sio udhaifu ni choice.
 
mkuu umetumia hyo lugha ya watu kusumbua akili zetu utadhan ada za shule ulikuwa unatulipia wewe.....
Huu uzi watu wameupitia mbali mana wameona kizungu zungu tu..
Lugha saaaafi kabisa isiyo na upele wowote. Pole sana bro kwa kutokuelewa
 
Amelionea wivu tango...jamaa lazima atakuwa na kimutuz
Hats kama kimutuz, ndo aende kwa wanaume watatu plus na tango duh. Ila house girl ndo kavunja record madume 19? Balaa
 
Mjomba vip watoto ulionao ni wakoo
Au watango
Au wadereva
Au wa wale wawil [emoji102] [emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…