Mnaosema kwenye maisha kuna bahati

Duuuh ndo umeisha au

Ila kusema kweli maisha yana siri nyingi sanaaa, huwez jua nin kipo kwa ajiili yako

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Kumbe matatizo ya ajira yameanza mda? Huyu atakuwa wa enzi za mkwere ajira kila mwaka zinatoka
 
Nenda kwà Mwamposa
 
acheni kutania watu na kusoma umesoma [emoji1][emoji1]
aah kweli ugumu unatofautiana, kuna watu hata 1/8 ya mateso yao hujayafikia..
Yani wewe ni kama mtu anaeanguka msituni anajidaka kwenye matawi, mana kuna watu wanaanguka milimani tena milima ya mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…