Mnaosema landcruiser v8 inakula mafuta mlifanya wapi uchunguzi?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Wakati hiyo ukiweka lita 13 tu inatembea kilomita 100

FB_IMG_1668405413122.jpg
 
Tz tuna ufukara wa Hali ya juu Sana gari la kifahari hata lingetembea 5km per Lt bado ni Sawa Tu kama kuna MTU analalamika V8 bas yy akapambane na vits na ist
 
Kichwa kinakuwa na mambo mengi
Ushenzi tu na kutokujielewa! Ninacho jua mm Dereva anapo kua kwny gari, ile gari yote ina kua kama mwili wake, madereva wana elewa, chochote kinachotoke kwnye gari hua anapata taharifa za haraka sana hata kama kuna hitilafu ndogo baada ya hapo unaanza kuhisi itakua hivi, au itakua vile, na taharifa zingine lazima uzipate kwenye dashboard sidhani kama kuna drv mwnye akili zake timamu zina pita sekunde 5 mpaka 8 hajaangalia dashboard, yani hizo sekunde 8 zenyewe ni umechelewa, kitendo hicho kinafuatana na kuangalia mirror na kurudi kwnye dashboard ss inakuaje temp huoni au gauge ya mafuta huoni au taa ya oil huoni
 
Mkuu usiombe yakukute unakuta mke kakuvuruga kazini kunawaka moto hayo yote unayasahau!
 
Umejisemea tu mkuu lkn
 
Hivi[emoji848] unaendeshaje gari mpaka inazima kabisa kwa 7bb ya mafuta ilihali gauge inakuonyesha au mpaka gari inachemsha kabisa ilihali temp inakuonyesha
Na V8 inaonesha mpaka upepo wa tairi, zingekuwa hizi ndogo naweza kuelewa maana sometime baadhi mshale unazingua

Mwamba lazima pesa ilimuishia
 
Mkuu usiombe yakukute unakuta mke kakuvuruga kazini kunawaka moto hayo yote unayasahau!
Ishini nao kwa kili nao wataishi nanyi kwa upendo! Shida unakuta badala ya kutumia akili ww unaleta ujanja na fojifoji nangai, na yeye badala ya upendo nae anatumia akili mwisho wa siku unakaa na mtu mnakua kama mna cheza draft kila mtu anamtafutia mwenzie upenyo, kwa mwendo huo mbali na kushindwa ku handle gari unajikuta umechomekea hata msafara wa raisi
 
Na V8 inaonesha mpaka upepo wa tairi, zingekuwa hizi ndogo naweza kuelewa maana sometime baadhi mshale unazingua

Mwamba lazima pesa ilimuishia
Kweli hizi ndogo zina basic function na zina shida mara kwa mara ila kuna watu ni wazembe tu by original
 
Umejisemea tu mkuu lkn
Sijajisemea tu! Uendeshaji wa magari una tifautiana sana, kuna wanao endesha basi tu kwa sababu analo nae anaendesha, kuna anaendesha kua gari ni office yake na wanao endesha magari kibiashara, kundi zeeeembe kabisa ni hilo la kwanza!
 
Back
Top Bottom