Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Kichwa kinakuwa na mambo mengiHivi[emoji848] unaendeshaje gari mpaka inazima kabisa kwa 7bb ya mafuta ilihali gauge inakuonyesha au mpaka gari inachemsha kabisa ilihali temp inakuonyesha
Ushenzi tu na kutokujielewa! Ninacho jua mm Dereva anapo kua kwny gari, ile gari yote ina kua kama mwili wake, madereva wana elewa, chochote kinachotoke kwnye gari hua anapata taharifa za haraka sana hata kama kuna hitilafu ndogo baada ya hapo unaanza kuhisi itakua hivi, au itakua vile, na taharifa zingine lazima uzipate kwenye dashboard sidhani kama kuna drv mwnye akili zake timamu zina pita sekunde 5 mpaka 8 hajaangalia dashboard, yani hizo sekunde 8 zenyewe ni umechelewa, kitendo hicho kinafuatana na kuangalia mirror na kurudi kwnye dashboard ss inakuaje temp huoni au gauge ya mafuta huoni au taa ya oil huoniKichwa kinakuwa na mambo mengi
Mkuu usiombe yakukute unakuta mke kakuvuruga kazini kunawaka moto hayo yote unayasahau!Ushenzi tu na kutokujielewa! Ninacho jua mm Dereva anapo kua kwny gari, ile gari yote ina kua kama mwili wake, madereva wana elewa, chochote kinachotoke kwnye gari hua anapata taharifa za haraka sana hata kama kuna hitilafu ndogo baada ya hapo unaanza kuhisi itakua hivi, au itakua vile, na taharifa zingine lazima uzipate kwenye dashboard sidhani kama kuna drv mwnye akili zake timamu zina pita sekunde 5 mpaka 8 hajaangalia dashboard, yani hizo sekunde 8 zenyewe ni umechelewa, kitendo hicho kinafuatana na kuangalia mirror na kurudi kwnye dashboard ss inakuaje temp huoni au gauge ya mafuta huoni au taa ya oil huoni
Suit na kidumu!!!
Umejisemea tu mkuu lknUshenzi tu na kutokujielewa! Ninacho jua mm Dereva anapo kua kwny gari, ile gari yote ina kua kama mwili wake, madereva wana elewa, chochote kinachotoke kwnye gari hua anapata taharifa za haraka sana hata kama kuna hitilafu ndogo baada ya hapo unaanza kuhisi itakua hivi, au itakua vile, na taharifa zingine lazima uzipate kwenye dashboard sidhani kama kuna drv mwnye akili zake timamu zina pita sekunde 5 mpaka 8 hajaangalia dashboard, yani hizo sekunde 8 zenyewe ni umechelewa, kitendo hicho kinafuatana na kuangalia mirror na kurudi kwnye dashboard ss inakuaje temp huoni au gauge ya mafuta huoni au taa ya oil huoni
Na V8 inaonesha mpaka upepo wa tairi, zingekuwa hizi ndogo naweza kuelewa maana sometime baadhi mshale unazinguaHivi[emoji848] unaendeshaje gari mpaka inazima kabisa kwa 7bb ya mafuta ilihali gauge inakuonyesha au mpaka gari inachemsha kabisa ilihali temp inakuonyesha
Ishini nao kwa kili nao wataishi nanyi kwa upendo! Shida unakuta badala ya kutumia akili ww unaleta ujanja na fojifoji nangai, na yeye badala ya upendo nae anatumia akili mwisho wa siku unakaa na mtu mnakua kama mna cheza draft kila mtu anamtafutia mwenzie upenyo, kwa mwendo huo mbali na kushindwa ku handle gari unajikuta umechomekea hata msafara wa raisiMkuu usiombe yakukute unakuta mke kakuvuruga kazini kunawaka moto hayo yote unayasahau!
Kweli hizi ndogo zina basic function na zina shida mara kwa mara ila kuna watu ni wazembe tu by originalNa V8 inaonesha mpaka upepo wa tairi, zingekuwa hizi ndogo naweza kuelewa maana sometime baadhi mshale unazingua
Mwamba lazima pesa ilimuishia
Sijajisemea tu! Uendeshaji wa magari una tifautiana sana, kuna wanao endesha basi tu kwa sababu analo nae anaendesha, kuna anaendesha kua gari ni office yake na wanao endesha magari kibiashara, kundi zeeeembe kabisa ni hilo la kwanza!Umejisemea tu mkuu lkn
Unajua ameweka vidumu vingapi?Suit na kidumu!!!