Mnaosema Vijijini hawajui kama CCM haifai, msikilizeni huyu.

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna mtizamo hasi Kwa watanzania waishio mijini kwamba wananchi waishio Vijijini hawajui kama CCM haifai tena kuendelea kuongoza Tanzania.

Watu wengi hudhani kwamba wananchi wa Vijijini ndiyo wanaokwamisha harakati za kuitoa CCM madarakani.

Lakini video ya huyu Mwamba, inatupa taswira tofauti.

Your browser is not able to display this video.
 
But hii ni minor case, what about vijiji vingine, nchi kubwa hii
 
But hii ni minor case, what about vijiji vingine, nchi kubwa hii
Mimi Nina uzowefu wa Vijijini. Tatizo lao siyo kwamba wanaipenda CCM Bali tatizo hawajui tofauti kati ya CCM na Serikali.

Lakini pia wanadhani CCM siyo shida bali shida ni baadhi ya watu waliomo CCM. Si unamsikia anasema Hana shida na "mwalongo".

Wanashindwa kujua CCM ndiyo yenye mfumo mbovu wa kuongoza nchi.
 
Wewe unaona kuna tofauti Kati ya Serikali na CCM?
 
 

Attachments

  • VID-20240629-WA0008.mp4
    2.8 MB
Shule za kata zinaenda kuizika CCM kabisa
 
Umenena vema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…