johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapo Watu Wanainua Taifa Stars kwa sababu tu Rais Samia pamoja na CCM wanaipa hela
Ndio nawajulisha Rais Nguema wa Equetorial Guinea ametoa bonus ya Euro million 1 ( Sawa na tsh bilioni 3) kwa timu ya Taifa lake baada ya kuibamiza Ivory Coast 4-0
Taifa Stars Oyeeeee 😂