Mnaosoma degree ya computer science naomba msaada wenu wa mawazo tafadhali.

Mnaosoma degree ya computer science naomba msaada wenu wa mawazo tafadhali.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Tangia nimeanza hizi kozi naona masomo magumu kweli katika kusoma kwangu kote sina historia ya kukata tamaa lakini kwa hii kozi nahisi kukata tamaa kunamasomo magumu kweli computer architecture na cprogramming.Masomo haya nayasoma sana lakini nanusurika kufeli nawekeza juhudi nyingi lakini wapi sipendi ku sapp wala kubreak.Lakini Mbona Masomo Haya magumu kwangu.Hivi nyie mnaosoma degree ya computer science haya masomo mnayasomaje wenzangu nisaidiane jamani naona mambo magumu maana wakati mwingine nafikiria kuachakozi hii lakini nikiangalia maisha ya mtaani magumu sasa sijui nifanyaje.JAMANI NAULIZA HIVI NYIE AMBAO MLICHUKUA DEGREE MLISOMAJESOMAJE MPAKA MKAHITIMU SALAMA NISAIDIENI KWA USHAURI WENU TAFADHALI.
 
Swali: "kwanini uliamua kusoma computer science in the first place?"

Je,

1. Ni kwa sababu uliipenda and you were always fascinated and interested in computers n similar gadgets?

2. Ni kwa sababu ulionekana una akili sana ikakubidi usome masomo ya sayansi badala ya arts (sayansikimu lol...unanikumbusha mbalii) ?

3. Ni mapenzi ya wazazi/walezi wako?

Nyongeza: Una ndoto za kufanya nini mbeleni baada ya kumaliza masomo yako?


NB: Good things never come on a silver platter.
 
Back
Top Bottom