Naona wamegundua kuwa kuwa watu wanatumia cover ya uanafunzi kwenda majuu wana enroll chuo then wanaendelea na uhalifu. Si umeona hao mabinti wa kenya ambao wamefungwa kwa kughushi tax repayment of millions? Walienda huko majuu kusoma but in turn wanafanya uhalifu. I belive there a number of foreign students ambao wanajiandikisha na hawaonekani darasani, pengine wanafanya kazi kuliko ku mind masomo yao. Walioko huko majuu watachangia vizuri sana maana wanaifahamu hali halisi ya foreign students. Wapo wengine ambao kweli wanasoma na wakimaliza hurudi nyumbani. Wengine wazamiaji. Sasa nafikiri UK wanataka kufanya filtering!! Jiandaeni wale ambao mna motive tofauti na kusoma. Amueni kusuka au kunyoa.
On the other hand, zoezi zima litaingilia sana uhuru wa wanafunzi, yaani ni kama unajianika. Hasa wale ambao wanapenda kuwa na maisha privacy but sasa itabidi wajulikane sana. Huwa si nzuri sana mtu kukufahamu in and out. At least mtu akuone kama stundent mwema, period, na si kama kutaka kujua jana ulilala wapi na leo umemkia wapi???