Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman tokeo vp serikal yetu imefikia wap?
Kwakwel baraza la mthan wamekuwa wazembe xana,cjui kwa kuwa wote ni drsa la saba!
Bila shaka wamekupata. Ila mkuu hii thread yako ni ndefu lakini haina comma wala nukta, jitahidi kufuata taratibu za uandishi.
Kwakwel baraza la mthan wamekuwa wazembe xana,cjui kwa kuwa wote ni drsa la saba!
Kwakwel baraza la mthan wamekuwa wazembe xana,cjui kwa kuwa wote ni drsa la saba!
kwanza niwape hongera kwa kumaliza form 4, pia hongera kwa wale wote waliowawezesha nyie kufika hapo wazazi, pamoja na walimu, nachotaka kuongea na nyie hapa nikuhusu haya, matokeo yenu ambayo kuanzia leo tarehe 8, mpaka tarehe 13 mwezi huu wa 2 yanaweza kutoka, so nachotaka kuwambia ni kuwa, unapofanya mtihani kuna mawili, kufeli, na kufaulu, kwaiyo basi unapofaulu usibweteke, kwani bado unasafari ndefu sana tena ambayo ni ngumu zaidi ya ulipotoka, kaza buti usilewe sifa kwani wengi waliofaulu form four walipofika advance walifeli, kisa walijisahau, pili wale mtakao feli msikate tamaa na kuchukua maamuzi ya kuacha kusoma, au mzazi kukataa mlipia mtoto ada kisa amefeli, mpe nafasi mtoto ajaribu tena, na wewe kijana ukifeli jaribu tena wengi mnao waona vyuoni, makazini, hawakukata tamaa pale walipo feli, so nawatakia mandalizi mema ya maisha mapya.
Yametoka sasa kuchek chek website ya necta