Mnaosubiri Post za Kidato cha 5 Mnachafua Jukwaa !

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Oya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu

Post lini post lini !
Mnachafua Jukwaa la waungwana !
Thread zimezidi sasa !
!
 
Hiyo inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyopenda Elimu!!
 
Oya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu

Post lini post lini !
Mnachafua Jukwaa la waungwana !
Thread zimezidi sasa !
!

nivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie
 
great umeandika vizuri.
ngoja aje akujibu.
 
nivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie

Mwambie huyo
 
Kuna umaana gani wa kuandika hoja nyingi zenye lengo moja?
snipa kawaambia ukweli ,Kama ni post Weng wameshaandika! Hivyo kuna umuhimu gan wa kurudia mada zile zile ?Ama umekurupuka kujibu....
VIa
Weka picha ya huo uchafuzi alioufanya snipa
 
Last edited by a moderator:
Moderator wa hili jukwaa wafungulie hawa watu thread moja
ambayo itawaunganisha hapohapo wadiscuss swala la post
make kiukweli ni michosho hata kama wakiponda
kila mtu anataka aanzishe thread kuulizia post wakati thread zipo na zina majibu
cc JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Oya vijana Kujifungulia Thread kila mtu akiuliza swali Lile lile tu

Post lini post lini !
Mnachafua Jukwaa la waungwana !
Thread zimezidi sasa !
!

sijui kwanini mods hawaunganishi
 
nivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie

................
 
Attachments

  • See there !.jpg
    5.9 KB · Views: 379
Kuna umaana gani wa kuandika hoja nyingi zenye lengo moja?
snipa kawaambia ukweli ,Kama ni post Weng wameshaandika! Hivyo kuna umuhimu gan wa kurudia mada zile zile ?Ama umekurupuka kujibu....
VIa
Weka picha ya huo uchafuzi alioufanya snipa

sijajua intention yake ni nini !
Mana sitaki kuamini kama katumia ubongo ! Kuandika pumba zile !
 
Last edited by a moderator:
nivema ukatafakari then ukaandika Thread zenye hoja maana hata wewe umechafua jukwaa! wana haki ya kuuliza kamanda we unataka waandike wap? ama una njia mbadala? wapatie
Hamjakatazwa kuandika, mtu anaona kuna thread hizo hizo za post tena nyingi ty
nae anakuja kuanzisha hiyo ni akili matope?
mmezidi asee utadhani nyie ndo wa kwanza kumaliza form four
kwanza jf sio pa kuliza kitu siku zikitoka tu lazma ziwekwe
punguzeni kiwewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…