Makumbusho stend! Ukiingia utamkuta mdada 1 hivi atakukaribisha then atakja huyo jamaaa hahahhaaa wanakamata wengi wasiojua mchezo!Kuna tapeli mwingine pale Makumbusho, ana kiofisi chake kinaitwa Job junction.
Kila ikipita wiki 2 anatoa tangazo hilo hilo la customer care, ukituma maombi anakuita na anakuambia ulipe elfu 25 akutafutie kazi kwenye makampun.
Ila ndio nitolee hiyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole sana mkuuI have experienced this kind of utapeli, nilitapeliwa TZS 4,500/= pamoja na kusubirishwa kwenye hilo jengo la interview dah,tulikua wengi wengine toka mikoani, nyie matapeli Mungu anawaonaa [emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, watu wanatake advantages kupitia changamoto za watu.Pole sana mkuu
Kama ni kweli wanazisambaza hizo CV yaweza kuwa hakuna utapeli, maana kupata au kukosa ni matokeo tu.Makumbusho stend! Ukiingia utamkuta mdada 1 hivi atakukaribisha then atakja huyo jamaaa hahahhaaa wanakamata wengi wasiojua mchezo!
Nilienda pale 2018 , December baada ya kuambiwa lipia 20,000/= ili tukusambazie cv yako nikaona hapa n kusepaaaaaa
UmeonaeeeeAhsante mkuu, watu wanatake advantages kupitia changamoto za watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo waendelee outpost tangazo moja la Kaz wakat ilishapita deadline huon kama n Tapeli mkuuKama ni kweli wanazisambaza hizo CV yaweza kuwa hakuna utapeli, maana kupata au kukosa ni matokeo tu.
Kama wanafanya hivyo basi huo ni utapeli.Ndo waendelee outpost tangazo moja la Kaz wakat ilishapita deadline huon kama n Tapeli mkuu
Adi wewe dah[emoji3][emoji3]I have experienced this kind of utapeli, nilitapeliwa TZS 4,500/= pamoja na kusubirishwa kwenye hilo jengo la interview dah,tulikua wengi wengine toka mikoani, nyie matapeli Mungu anawaonaa [emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndyoo, nilipigwa buku 4 jero mkuu, nilitumiwa hiyo interview invitation ya maana full of details, mpaka nikahisi nishapata kazi hata kabla, nikaona inabidi kuchangia gharama kidogo for refreshment after interview, nikasita refreshment ya nini mi nataka kazi, ila nikaona si mbaya ni amount ndogo tu nikatuma, kumbe nishapigwa na interview hamna aisee, mitapeli naichukia mimii [emoji3][emoji3]
Mpenzi wangu pole kwa majanga, matapeli sio watu 🤣🤣🤣I have experienced this kind of utapeli, nilitapeliwa TZS 4,500/= pamoja na kusubirishwa kwenye hilo jengo la interview dah,tulikua wengi wengine toka mikoani, nyie matapeli Mungu anawaonaa [emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app