Mnaotafuta mume mbona mnaweka umri mkubwa, mnapata kweli?

Mnaotafuta mume mbona mnaweka umri mkubwa, mnapata kweli?

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Nina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafuta partiners(boyfriends)

1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+?

2 . Mnapata hao boyfriends kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frustrations za umri wao kuelekea ukingoni sokoni. Afu walipohitajika wakiwa below 25 walikuwa selective na nyodo kibao. Sasa wameshatendwa na kushughulikiwa mtaani wanakaribia ku expire... Lazima wajinusuru ki hivyooooo sasa...
 
sikuhiz vijana wa kiume wanachelewa sana kuoa ....ivo wa aina hiyo wapo wengi mnoo
 
Hahaha !! Ebu wambie Mkuu maana Wenye 24 years ... Tupo single wengi tu ...Mademu wanapenda Majitu makubwa ambao videvu Mimekomaaa [emoji23][emoji23]

Motivation_Ba.D
 
Back
Top Bottom