Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Duh!! Itakua aiseeUkiona hivyo ujue huyo tayari yuko 25-28, kamaliza kula ujana anatafuta pakufia sasa...!
Hahaha[emoji23]Na wengi wanaotafuta wenye umri huo ni wanawake.
Wakiambiwa waolewe mapema hawataki wanakuja kushangaa umri umeenda ndio wanaanza kuhangaika na vibabu.
Mkuu kwa mtu mwenye over 30 sio BOYFRIEND tena ila ni MANFRIENDNina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafta partiners(boyfriends) 1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+ ? , 2 .hua mnapata hao boyfriends kweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta wa kumsaidia kulipa Deni la HESLBUkiona hivyo ujue huyo tayari yuko 25-28, kamaliza kula ujana anatafuta pakufia sasa...!
Nakuona umerudi kwenye siti yakoWanakuja
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
[TAG]Miss natafuta[/TAG] na wenzako mkuje huku msaidie huyu kijana.Nakuona umerudi kwenye siti yako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakuona umerudi kwenye siti yako
Arooo, ulikuwa umeenda wapi. Karibu tena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu hiyo ndio nafasi yako ww ni wa kwanza kujib japo siku hzi unatuangushaWanakuja
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk