Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] usiwaze sana mkuuMkuu hiyo ndio nafasi yako ww ni wa kwanza kujib japo siku hzi unatuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha wanatu descriminate mkuuHahaha !! Ebu wambie Mkuu maana Wenye 24 years ... Tupo single wengi tu ...Mademu wanapenda Majitu makubwa ambao videvu Mimekomaaa [emoji23][emoji23]
Motivation_Ba.D
Sipendi kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha wanatu descriminate mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukiona hivyo ujue huyo tayari yuko 25-28, kamaliza kula ujana anatafuta pakufia sasa...!
HahahahaHard target , wanajua umri huo mwanaume amejikamilisha ki fedha na mambo mengine, wao wanakuja na begi la nguo tu
Nina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafuta partiners(boyfriends)
1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+?
2 . Mnapata hao boyfriends kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ,wote ni above 30 ? ,,Watu wengine bwana, sasa kama ana 30+ wewe unataka afanyaje? aandike wa uongo au?
Mkuu ,wote ni above 30 ? ,,