Mnaotafuta wachumba hapa JF...

100% umekusanya mtupu.Nami nimegundua hivyo hasa kwenye mahusiano. Lakin kwenye habar mcanganyiko huko ni kweli tupu pia jukwaa la iman. Na Gossip/jokes. Wengine watakusaidia kutaja zaidi.Japo wengine wamefanikisga kuopoa /kuopolewa. Hawawezi kujitangaza humu! Umuhim tunawatakia salama kwenye Safari zao.
 
Jamani mie nilivokuja mgeni humu nikawa na respond kwa wanaotafuta wachumba wa kike, tena nilikuwa niko serious na nilitoa information zangu zoote..Mmmh.. Ni vile tuu ilipotokea tunakutana Live, unakuta kama yeye kanidondokea mie nakuwa sijamdondokea na ikitokea mie nimemdondokea yeye anakuwa hajanidondokea..! Hahahaaa.. Nikaona kama ni kamchezo flani hivi hakana maana....Ila siwakatishi tamaa wanaoendelea kutafuta kwani inawezekana wakakutana na walichoandikiwa na Mungu humu..! KILA LA KHERI na mtupage ma feedback baasi!
 
 
hakuna formula utapata wap mke au mendo maana tuliambiwa anatokakwa Mungu.unaweza ukawa umepita sehemu nyingi lakini hujapata choice yako hapa ni mtandao world wide unawezaambulia abdakara.ILA wengi hapa ni matapeli wa pesa,mapenzi,ushushu nikiwa na mud ntamwag story
 

Ili iweje sasa? Waache watu wajilie ngisi.
 
Sidhani ka kuna mafanikio hapa kwanza wengine wanaotafuta wachumba humu wameoa/olewa tayari wanatest zali
 
ukweli ni kwamba mtu unaamua kweli kutoa post yako hapa lakini unakuta mtu anayekujibu ni mume wa mtu
 
ok let me say this if it will help prove something,, when i first join in this site i was strictly into having fun so i flirted kwenye pms na in different comments but as time goes there was one particular member of jf that caught my attention kwa comments zake and how he thinks,, i actually fell for his comments so we started to pm and our friendshp was strictly platonic bu it grew however, so we moved to yahoomessenger and skype and telephones then face to face and to his home and him to my house until now i can say we have a very close relationship and am proud that in jf i actually met someone i connect with.....
 
dah! i really enjoy the posts... but mimi navojua ndoa au mahusiano yanyodumu maranyingi wahusika wanakua ni watu waliofahamiana kitambo kabla hata ya kuwa wapenzi. unatafuta mchumba humu JF ukimpata mlemavu UTAMPENDA siku utakapoonana nae?? unampa ahadi kibao online, i luv u. unazmwaga kibaoo. je mkionana uso kwa uso utamridhia? au ndo mwanzo wakumwagana na kusababisha watu wajitoe uhai..
ni vyema ukapatana na mtu mkiwa mnaonana ili umkubali yy na jinsi alivo na kila uzuri na kasoro zake.. akujae kwenye moyo wako umpende kiukweukweli.....
tucdanganyane humu JF kwamba moyo tu ndo unapenda na wanaotaka kumuona mtu wanakua wametamani.... kuona na kumpenda mtu vinaenda pamoja.....
mabinti wenzangu tuwe makini tusije kuwakubali wakaka wawatu kisha tukawatosa, kisa ooooho nilitaka mume mrefu , au mweusi. jamani tuacheni hayo...
kama unataka kweli mchumba toa sifa zote kwa utimilifu wake ili umpate unae muhitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…