kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Bado hujajua tu kwamba wale ni midume.
Inakuletea pozi uingie kingi ikupige pesa. Stuka mzee, mujini hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel kabisaa mkuuSio kila anayeanzisha uzi wa kutafuta mchuma/mume ni mwanamke
Watu wamejificha kwenye vivuli vya ID fake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usaidiwe wewe au yeye. si mnasemaga kuwa Behind every successfull men there is woman?Mwanamke anaandika uzi kwamba anahitaji mume ili aolewe chaajabu unamfata inbox anaaza pozi nyingi.
Unaanza kumtongoza tena sasa chakushangaza apa mtu unataka mume inakuwaje tena ubembelezwa jamani
Hivi nyinyi wanawake mkoje unataka usaidiwe chaajabu ukifatwa DM unaanza pozi hii maana yake nini?
Ukikosa mume mnaanza lalamika ohooo sijui wanaume wakoje sijui wanatuchezea tu sijui wanaume wote mambwa ase acheni hizo ukihitaji mume wewe kuwa mpole.
Ili usaidiwe nadhani mmenielewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
heeee kumbeee sikujua sasa ntaifutaje the real ID ya kwangu? msaada tutaSio kila anayeanzisha uzi wa kutafuta mchuma/mume ni mwanamke
Watu wamejificha kwenye vivuli vya ID fake
Sent using Jamii Forums mobile app
Real ID yako ni ipi?heeee kumbeee sikujua sasa ntaifutaje the real ID ya kwangu? msaada tuta