Fact:[emoji45] [emoji116]
90% ya Wanaume au wanawake wanaoogopa kutuma picha kwa wenye Nia nao,
Ndo wale wale ambao hawajiamini kuhusu sura au maumbile yao Kwenye maisha ya kawaida.
Hafurahii kabisa wanapojitizama Kwenye kioo na kijuiona JINSI vile Muumba amewajalia.
Wanaamini kua mwonekano wa sura zao au maumbile yao ndo yanawasababishia changamoto wanazopitia kwny mahusiano yao.
Wanasahau kua,
-Uzuri wa kitu unategemea na mtizamaji.
-utamu wa tunda unategemea na mlaji.
Tumefika hapa kwasababu ya
NADHARIA hizi zilizoenea ZA UNYANYAPAA Kwenye Jamii yetu kama
-sixpack,
-kibamia,
-chura ipo?,
-guu la bia,
-zigo la kuvunja chaga? N.K