kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Habari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na Jersey za mpira au juicy ya miwa karibuni