kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Fremu au eneo?Habari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na Jersey za mpira au juicy ya miwa karibuni
Duh kun jamaa alikuw anatakaHabari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na Jersey za mpira au juicy ya miwa karibuni
Eneo tu la umachingaFremu au eneo?
Eneo tu la machinga wakuuShusha pumzi ndo uje hapa na maelezo yalojitosheleza,,,, !":
Biashara yoyote ile poa eneo sio fremu la kuweka meza tuEneo au fremu? N ambona tunaoangiana biashara za juisi ya miwa na makava ya simu?
Picha tafadhali.Habari wadau nauza eneo langu la biashara rangi 3 nimelipia kodi miezi 4 nauza kwa laki moja na 20 lipo karibu na sheli ya puma jirani na dar live wanaotaka kuuza makava ya simu,viatu vya kiume na Jersey za mpira au juicy ya miwa karibuni