Jerry Rawlings na Obasanjo ni mifano mizuri.Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
CCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.Jerry Rawlings na Obasanjo ni mifano mizuri.
Majeshi yote yatimize majukumu yao ya kulinda raia na mali zao pamoja na mipaka ya nchi bila kuingilia mivutano ya kisiasa.Mjinga wee ,ndezi, na mpuuzi mkubwa.
Angela Kiziga mkubwa wee.
Unadhan hata Wananchi tukiandamana na kuchukua Nchi, nani atawasaidia Wananchi kuleta Utulivu.
Narudia tena, kutaka jeshi lichukue nchi ni kulinda CCM na mafisadi walioiibia nchi. Dawa ni kupata mabadiliko ya kidemokrasia ambayo yanaweza kupatikana bila vurumai hizo za jeshi.Hujitambui wewe
Watanzania tuko tayari na tunataka sana Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
CCM mmeharibu kila kitu sasahivi nchini.
Mmeua mifumo yote Si Bunge, Si Mahakama, Si Polisi si Usalama si TAKUKURU
Wanasiasa ndo wamekuwa miungu watu na Ufisadi ndo umetamalaki.
Wananchi wanauliwa na kutekwa wengine kuwekwa Magerezani na kufungwa bila hatia kwa sababu ya kusimamia ukweli.
Wananchi kwa sauti moja tunataka Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
Lisimamie mchakato wa Katiba Mpya ili Wananchi ndo tuwe na sauti ya mwisho juu ya nchi yetu.
Nini kitazika demokrasia endapo jeshi litachukua nchi?Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Sisi au wanaotaka Samia aendelee nani hana akiliNilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Ikiwa vyama vya kisiasa vinaminywa unashauri nini?CCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.
Hiko unachotaka jeshi ikifanye, raia na taasisi za kiraia wanaweza kukifanya kwa ufanisi zaidi. Ukiruhusu jeshi liingie leo, nini kitalizuia kesho kuingia tena?Nini kitazika demokrasia endapo jeshi litachukua nchi?
Kwa taarifa yako jeshi litachukua nchi kwa kipindi cha mpito tu, na katika kipindi hicho wataruhusu marekebisho ya katiba na kisha uchaguzi utaitishwa.
Hata kama wanatishia tu ni hivi msg sent delivered in full package. Watawala wajue chochote kinawezekana.CCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.
Leo Lissu yupo mahabusu kwa sababu kuna watu wameshindwa kudili na siasa kisiasa, wakakimbilia mihimili ya mahakama iwaokoe. Na nyie leo mnaunga mkono jeshi iingizwe katika mambo ya kisiasa. Mnafeli sana.Hata kama wanatishia tu ni hivi msg sent delivered in full package. Watawala wajue chochote kinawezekana.
New Tanganyika ipo karibu kuzaliwa.
Ukiona mpaka ayo kapost kuna watu watalala na viatu,
Tuheshimiane nchi siyo ya familia fulani kila mtu arudi kwao.
Vyama vya siasa vimejaa mapandikizi. Wananchi walitakiwa wenyewe kwa umoja wao wasimamie kile wanachokitaka na mwanasiasa yoyote anayewakwamisha walitakiwa wamuwajibishe.Ikiwa vyama vya kisiasa vinaminywa unashauri nini?